Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
Naipenda simba mshabiki wa damu woyooooooooRed hiyo ni vile namkubali sana Trey,
Na vile mama pia ni simba inakua poa[emoji4]
Naipenda simba mshabiki wa damu woyooooooooRed hiyo ni vile namkubali sana Trey,
Na vile mama pia ni simba inakua poa[emoji4]
Hahaha hiyo fashion naijua basi mweee
Vyuo ni hivyo tu
Columbia JD, Stanford LLM basi the rest ni wongooooo.
Columbiaaaaaaa, teh teh tehhhhhhhhh.
KWA HAPA NASEMA USA BABY.
😀😀😀😀😀😀
Red hiyo ni vile namkubali sana Trey,
Na vile mama pia ni simba inakua poa[emoji4]
Hahahaha hiyo rangi yakoNaipenda simba mshabiki wa damu woyoooooooo
huu ushemejiHabari yako Shemeji!
Hivi maziwa kwa Kinyakyusa yanaitwaje?
Me mzima shem, sijui wewe. Mweeh nimeambiwa yanaitwa "lukama"Habari yako Shemeji!
Hivi maziwa kwa Kinyakyusa yanaitwaje?
Haha usinikumbushe utotoni, mvua inyeshe afu una nguo nyekundu yereuwiiiHahahaha hiyo rangi yako
ukumbuke kuna radi
His bae is my nyakyusa sishuu ushemeji
kwa nani tena mkuu
samahani lakini..
How are you kuiMfurahishe tu, usipofanya kwake utafanya wapi.
Haha na ukikimbilia chini ya mti ndio mama weee unaambiwa radi inafuata mitiHaha usinikumbushe utotoni, mvua inyeshe afu una nguo nyekundu yereuwiii
Weee unaweza kuvua hiyo nguo mbonaHaha na ukikimbilia chini ya mti ndio mama weee unaambiwa radi inafuata miti
Angalau tu...His bae is my nyakyusa sis
huu ushemeji
kwa nani tena mkuu
samahani lakini..
How are you kui
anajua team yake ni mbovu
na sipo upande wake...basi tu ni mama nisikose vitu fulani
Hahah..hamna kuiMie buheri Ben.
Teh!, unajua kulinda mali zako weye...lol
Huyu mwanamama bwana safi sana.
Fanya yote mazuri, enjoy life so long as huvunji sheria na maadili.
Kale malimao!Simpendi huyu Mwanamke!
Haisaidii as long as Michelle ni first Lady-USA ww utabaki kua mchimba chumviSimpendi huyu Mwanamke!