Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

damn! its awasome..this shows its a lesson to ther first ladies in the world for sure...kuinteract and show the funny side kuliko userious all the way...
 
Nani kakuambia mimi ni mmama? Tafadhali nitake radhi.

Aliyekuambia niko Dar ni nani? Si afadhali uulize!

Hivi mtu kumfahamu mtu romantic hadi ufanye imagination? Ninaona ama huelewi maana au hujui mtu romantic ni wa namna gani. Unapashwa kupata shule kidogo.

Sasa kwenye fainali ya swali kati yangu na wwee nani anafanya imagiations?

Uwe na siku njema.

mshaanza imagination...wanawake wa dar!
 
Simpendi huyu Mwanamke!
Duuuh wachawi bwana wanachukia kila kinachofurahi, yaani ungekuwa uwezo wenu hata miti isingefurahia upepo, mlikutana wapi akakukosea nini hadi umchukie, au unahisi anaomba umpende au?
 
How cool is Michelle Obama?
Awwwww nimeipenda clip sana.
Nilikuwa naipuuzia hadi niliposhtuliwa na BFF.
 
Wote mliyochangia hapa mmeshangilia shoo lakini mmesahau jambo moja la muhimu sana. Usalama wa wahusika!

Ni wachache watakaokubali au watakaokua wamenotisi kitu cha hatari sana na hakifai kuigwa hata kidogo!

Kilichosababisha kisionekane ni kwasababu "mke wa Rais".

Lakini show hiyo hiyo ingekuwa imefanywa na watu wengine wa kawaida au hata mke wa Trump au Clinton ingepokelewa tofauti kwasababu za kiusalama!

Au ni kwasababu waliendeshea ndani ya ikulu?

binafsi sija notice kitu wewe umeona nini?
ila kama ni swala la ulinzi nadhani umeona kuna gari lilikua linafuata kwa nyuma unadhani ilikuwepo kuwepo tu?

hebu funguka zaidi ulitaka kusema kitu gani
 
Wonderful!

By the way umeona speech ya Michelle?
Ku hiphop yupo na anatoa speech ya nguvu.

Aisee niliiona.
kumkichwa yuko vizuri sana; She's such an eloquent speaker hata Hillary hafiki aisee.
Japo binafsi namkubali sana Loretta Lynch yule maza ni msala.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom