Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

Kui Marekani nzima hakunaga chuo kama Columbia. Yani hapo ni nyumbani kwa magenous. Teh teh teh tehhh.
Au unabisha???

Nabisha!, afadhali hata ungesema UCLA.
Kwani ipo hata kumi bora worldwide?
 
Nabisha!, afadhali hata ungesema UCLA.
Kwani ipo hata kumi bora worldwide?

Hahahaha,
Kwenye COLUMBIA ndiyo naweza kusema USA baby!
Its Columbuia, Columbia, Columbiaaaaaaa.
teh teh teh. Wewe bisha tuu lakini Columbia tu.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Haha, kwanza tuachane na baba lao hii Columbiaa yako cha mtoto, halafu Yale waseme nini, na Princeton je!..

Is that where you went? Naona unawafagiliaa...lol!
 
Vyuo ni hivyo tu
Columbia JD, Stanford LLM basi the rest ni wongooooo.
Columbiaaaaaaa, teh teh tehhhhhhhhh.
KWA HAPA NASEMA USA BABY.
😀😀😀😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: kui
(Yes I do Benny)

Haha!, kweli tumekuwa wanamitindo, mtu akileta figisufigusi kwenye fasion tunamtumbua jipu. 🙂
Kui inabidi niwe
makini sasa na uvaaji wangu

nilipo mimi ni usiku sasa
usiku mwema ila
nimefurahi kukuona leo
 
Say it again
Say it again kui

Nimekumiss aisee
Nilikuona mahali na mama
mmekuwa wanamitindo lol'
Hahaha tunavyojikutaga Fashion Police sasa, kama kweli vile
(Yes I do Benny)

Haha!, kweli tumekuwa wanamitindo, mtu akileta figisufigusi kwenye fasion tunamtumbua jipu. 🙂
Juzi kati nilichungulia red carpet ya YOU Spectacular Awards, mbona nilikumiss ghafla. Hawwwwt mommas!!!
 
Kui inabidi niwe
makini sasa na uvaaji wangu

nilipo mimi ni usiku sasa
usiku mwema ila
nimefurahi kukuona leo

Mie pia Ben.
By the way U good so far kwa fasion, na hiyo mix ya red and blue. Mamaa mwenyewe mwanamitindo so naona anakuweka mstarini..lol

Hahaha tunavyojikutaga Fashion Police sasa, kama kweli vile

Juzi kati nilichungulia red carpet ya YOU Spectacular Awards, mbona nilikumiss ghafla. Hawwwwt mommas!!!

Hehe, acha tu.

Jamani nikakosa red carpet, navyopenda kuangalia mitindo basi.
Hivi Kili Awards lini manake si ya kukosa kwa mitindo ile, watu tuanze kushona mavazi.
I hope uncle Magu hajai ban, cos hakawii.
 
Vyuo ni hivyo tu
Columbia JD, Stanford LLM basi the rest ni wongooooo.
Columbiaaaaaaa, teh teh tehhhhhhhhh.
KWA HAPA NASEMA USA BABY.
😀😀😀😀😀😀

Stanford nakubali, lakini hiyo Columbia mh!
Au kwa vile Rais wa dunia alienda hapo. 🙂
 
Mie pia Ben.
By the way U good so far kwa fasion, na hiyo mix ya red and blue. Mamaa mwenyewe mwanamitindo so naona anakuweka mstarini..lol

Hehe, acha tu.

Jamani nikakosa red carpet, navyopenda kuangalia mitindo basi.
Hivi Kili Awards lini manake si ya kukosa kwa mitindo ile, watu tuanze kushona mavazi.
I hope uncle Magu hajai ban, cos hakawii.
Mmh mwenzangu sijui hata itakuwa lini coz naona hadi sasa hivi hakuna hata kidalili. Ngoja tuendelee kusubiri
 
Hahaha tunavyojikutaga Fashion Police sasa, kama kweli vile

Juzi kati nilichungulia red carpet ya YOU Spectacular Awards, mbona nilikumiss ghafla. Hawwwwt mommas!!!
upo vizuri kwenye fashion heaven,
ujue nakusomaga kimya kimya tu!!
 
Mie pia Ben.
By the way U good so far kwa fasion, na hiyo mix ya red and blue. Mamaa mwenyewe mwanamitindo so naona anakuweka mstarini..lol

Hehe, acha tu.

Jamani nikakosa red carpet, navyopenda kuangalia mitindo basi.
Hivi Kili Awards lini manake si ya kukosa kwa mitindo ile, watu tuanze kushona mavazi.
I hope uncle Magu hajai ban, cos hakawii.
Red hiyo ni vile namkubali sana Trey,
Na vile mama pia ni simba inakua poa[emoji4]
 
Back
Top Bottom