Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

Michelle Obama kajiachia, Saafi kabisa

Aisee niliiona.
kumkichwa yuko vizuri sana; She's such an eloquent speaker hata Hillary hafiki aisee.
Japo binafsi namkubali sana Loretta Lynch yule maza ni msala.


You're right on that one, hii na Hillary hata naona kiasi. Loretta nae si mchezo asee!
 
You're right on that one, hii na Hillary hata naona kiasi. Loretta nae si mchezo asee!

Amemuokoa sana Hillary.
Kuna maswali alikuwa anajibu kwenye Senate: I was blown away!
Walikosa pa kumshikia.
 
Huyu mwanamama bwana safi sana.
Fanya yote mazuri, enjoy life so long as huvunji sheria na maadili.

1472577116078.jpg
1472577139221.jpg
1472577155361.jpg
1472577172701.jpg
1472577189351.jpg
1472577237005.jpg
 
Back
Top Bottom