Memories and attachments to pain ndo msingi wa suffering.

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,335
Reaction score
31,167
Sometimes kinacho tu umiza sio, watu, ni kumbukumbu.

Imagine, mtu wako wa karibu, anaondoka maishani mwako. Means that hauta mwona tena maisha yako yote. Then flashbacks za mambo mliyo experience, the way alikumake feel, alafu ndo hivyo tena.

Kuna film moja nilicheki juzi kati, inaelezea how (memories) inaweza kuwa stored in the body alone.

Yaani ndo maana mtu akipigwa tukio, au kufumania, moja kwa moja kinacho kuwa activated ni (pain body)... There's emotional storage in the body, kinacho uamia pale ni mwili, kiakiri unaweza kumchukia muhusika ila mwili una feel betrayed, like yaani yote mliyo ya fanya you'll never get to experience them again.

Memories and attachments to pain ndo msingi wa suffering.

For a while nilikuwa najaribu kufanya spiritual practices.

Inabidi ufikie stage ya kuona kuwa pain is inevitable, na Kamwe katika maisha huwezi epuka pain.

Buddha, alijinyima kila kitu, na alivyo fikia "samadhi" aliona kuwa kinacho tufanya kukataa maumivu ni kwa sababu umekuwa attached to memories. Na memories ni kitu ambacho hakipo, the past is all gone.

The only power resides in the NOW

The mind, is just a tool. Na it operates on Time,(past or future)

Kumbukumbu, ni zinasaidia ila huweza kugeuka kuwa chanzo cha mateso ya kujitakia.

Ukisha jua kuwa wewe ulizaliwa peke yako bila kitu, na utakufa peke yako bila kitu, then utaanza kuyaona maisha katika lense iliyo safi, na isiyo na lazima wa kutaka ku hold kila kitu.

Utajua ya kuwa, vitu huja na kupotea. Na huwezi kuvishikilia milele. Kwanza ni hakuna unacho akimiliki, it's just an illusion.

Hayo magari, nyumba, mke, watoto... Ndio ni vyako kwa kipindi fulani ila Kuna ukomo, utazeeka, watoto watakuwa na maisha yao.. Inshort imparmanece is life itself.

So, kumbukumbu sio kitu cha kuendekeza sana.. Jua mipaka yake na songa mbele.

Angalia mtoto mdogo, anaweza kufanya tukio hapa na ukamchapa viboko, baada ya dakika 3 kasha anza kufurahi tena na wewe uliye mchapa. Why, because a new spirit knows its true nature. Akisha kuwa mtu mzima tayari ana world view tofauti ya nini ni sawa na nini kibaya,which in most cases sio hata so important.

Kwa upande wangu naona, japo kuwa kumbu kumbu huleta msaada mkubwa sana, vitu kama masomo, logic na mengineyo hutegemea, ila linapokuja swala la hisia, kubaki kwenye kumbu kumbu ni sawa na kujitengenezea jela ya maumivu wewe mwenyewe.
 
Sometimes kinacho tu umiza sio, watu, ni kumbukumbu.

Imagine, mtu wako wa karibu, anaondoka maishani mwako. Means that hauta mwona tena maisha yako yote. Then flashbacks za mambo mliyo experience, the way alikumake feel, alafu ndo hivyo tena.

Kuna film moja nilicheki juzi kati, inaelezea how (memories) inaweza kuwa stored in the body alone.

Yaani ndo maana mtu akipigwa tukio, au kufumania, moja kwa moja kinacho kuwa activated ni (pain body)... There's emotional storage in the body, kinacho uamia pale ni mwili, kiakiri unaweza kumchukia muhusika ila mwili una feel betrayed, like yaani yote mliyo ya fanya you'll never get to experience them again.

Memories and attachments to pain ndo msingi wa suffering.

For a while nilikuwa najaribu kufanya spiritual practices.

Inabidi ufikie stage ya kuona kuwa pain is inevitable, na Kamwe katika maisha huwezi epuka pain.

Buddha, alijinyima kila kitu, na alivyo fikia "samadhi" aliona kuwa kinacho tufanya kukataa maumivu ni kwa sababu umekuwa attached to memories. Na memories ni kitu ambacho hakipo, the past is all gone.

The only power resides in the NOW

The mind, is just a tool. Na it operates on Time,(past or future)

Kumbukumbu, ni zinasaidia ila huweza kugeuka kuwa chanzo cha mateso ya kujitakia.

Ukisha jua kuwa wewe ulizaliwa peke yako bila kitu, na utakufa peke yako bila kitu, then utaanza kuyaona maisha katika lense iliyo safi, na isiyo na lazima wa kutaka ku hold kila kitu.

Utajua ya kuwa, vitu huja na kupotea. Na huwezi kuvishikilia milele. Kwanza ni hakuna unacho akimiliki, it's just an illusion.

Hayo magari, nyumba, mke, watoto... Ndio ni vyako kwa kipindi fulani ila Kuna ukomo, utazeeka, watoto watakuwa na maisha yao.. Inshort imparmanece is life itself.

So, kumbukumbu sio kitu cha kuendekeza sana.. Jua mipaka yake na songa mbele.

Angalia mtoto mdogo, anaweza kufanya tukio hapa na ukamchapa viboko, baada ya dakika 3 kasha anza kufurahi tena na wewe uliye mchapa. Why, because a new spirit knows its true nature. Akisha kuwa mtu mzima tayari ana world view tofauti ya nini ni sawa na nini kibaya,which in most cases sio hata so important.

Kwa upande wangu naona, japo kuwa kumbu kumbu huleta msaada mkubwa sana, vitu kamsa masomo, logic na mengineyo hutegemea, ila linapokuja swala la hisia, kubaki kwenye kumbu kumbu ni sawa na kujitengenezea jela ya maumivu wewe mwenyewe.
"No hard feelings" au cio!?
 
Hard feelings are un avoided.. But the attachment to them might be the very cause to your suffering. It's all about acceptance
SAWA hard feelings ni unavoidable lakin jitahid uwe na kanuni ya kusema no strings attached coz moyo wa mtu ni pori kubwa Sana siku hizi sio kichaka tena
 
Ni wachache sana wenye moyo wa hivyo, wengine kama wangezaliwa familia za kifalme wangekuwa wameshaa kuwaza utawala...

lakini jamaa akaacha vyote na kuishi maisha ya chini kabisa.
He knew kuwa hayo maisha ya kifalme ni so limited. Yaani wewe hujui kuhangaika, wewe unaamka asubuhi, unakula, yaani vijakazi ndo wanakuogesha kukufulia nguo na kila kitu wewe huna cha kufanya.

He knew that wasn't the true meaning of existence
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom