AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,114
Kwa kifupi sister mimi nimekataa yote hayo juu na siwezi yafanya kwa mpenzi wangu.
Wakati sikuwa online mwenzangu aliniomba niende kumsaidia kusafisha geto ndo kazi kubwa niliyo kuwa naifanya huku kwa Mtogole mvua ikinyesha tu maji yanajaa ndani so nilikuwa namsaidia mwenzangu kuweka sawa pa kulala.
Fidel tatizo wewe na wapenzi na wapendwa nilotaja hapo juu.... Mpenzi Kaizer, ODM, RR, et al - hua mara nyingi saana mwashabikia vitu ambavo vyawaonesha mna tabia hizo hapo juu.... Najua for a fact kua yaweza ikawa sio kweli Mfano Darling Kaizer....lol.. BUT hio tabia leads to wanaume ambao ni wavulana in nature (as per say ya Boss) kuiga yale ambayo mnashabikia....
Sasa kwa hii post umetoa hapa, NAKUAMINI, BUT who would have thot Fidel aweza fanya hivo??