Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Ajisafishe kwanza na yeye
Aseme ni yapi kati ya hayo ambayo hafanyi
Au amechukulia mfano wake kuja kutupa taarifa hapa

Hii Bishanga anayoitoa hapa bila shaka ni taswira anayoiona baada ya kuzaliwa upya kiakili lakini pia ya marafiki zake walio wengi. Mi namsifia sana kwani hata hili la remote mimi limenigusa ila hayo mengine Mungu amenitenga nayo
 
mkuu hii imegusa wengi sana na ndo maana wachangiaji wanaume wamekuwa wachache sana
yapo mengine mengi ambayo tunayafanya kwa akili zetu tunajua kuwa tuko right kumbe hakuna
Ila at least somo limefika
 
Hii Bishanga anayoitoa hapa bila shaka ni taswira anayoiona baada ya kuzaliwa upya kiakili lakini pia ya marafiki zake walio wengi. Mi namsifia sana kwani hata hili la remote mimi limenigusa ila hayo mengine Mungu amenitenga nayo
mmmmhhhh haya.........limekugusa la rimoti tu? ai resev mai koment.
 
Back
Top Bottom