Yale majengo yao na Kibisa ngoma Troupe Sikinde Ngoma ya Ukae vilizalisha ajira nyingi kwa watu wa Dar. Kuna uwezekano vifufuliweHapo juu umechapia.
Anyway DDC ipo na majengo yake ya Kariakoo, magomeni, Keko na Mlimani ni vitega uchumi kwa sasa.....ila wanaSikinde ngoma ya ukaye sijawasikia kitambo!
DDC ipo ila mambo ya kibisa nadhani waliachana nayo.Yale majengo yao na Kibisa ngoma Troupe Sikinde Ngoma ya Ukae vilizalisha ajira nyingi kwa watu wa Dar. Kuna uwezekano vifufuliwe
Hizi bendi zilikuwa na mabasi yao, wakipiga Kinondoni Vijana Hall walikuwa wanashuka kwenye mabasi yaoDDC ipo ila mambo ya kibisa nadhani waliachana nayo.
Unajua wakati ule muziki wa dansi ulitamalaki hata Freeman pale kwenye hotel ya baba yake Disco lilikuwa haliingizi fedha kama ya Sikinde, Maquiz OSS, Matimila mzee Makassy na bendi nyingine za Jazz!
Hizi bendi zilikuwa na mabasi yao, wakipiga Kinondoni Vijana Hall walikuwa wanashuka kwenye mabasi yao
Hakika wewe ni mkongwe. ShikamooDDC ipo ila mambo ya kibisa nadhani waliachana nayo.
Unajua wakati ule muziki wa dansi ulitamalaki hata Freeman pale kwenye hotel ya baba yake Disco lilikuwa haliingizi fedha kama ya Sikinde, Maquiz OSS, Matimila mzee Makassy na bendi nyingine za Jazz!
Hawa ndio ma LejendariHakika wewe ni mkongwe. Shikamoo