Miaka ya 70, 80 mpaka 90 kulikuwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam, liko wapi?

Hapo juu umechapia.

Anyway DDC ipo na majengo yake ya Kariakoo, Magomeni, Keko na Mlimani ni vitega uchumi kwa sasa.....ila wanaSikinde ngoma ya ukaye sijawasikia kitambo!
 
Hapo juu umechapia.

Anyway DDC ipo na majengo yake ya Kariakoo, magomeni, Keko na Mlimani ni vitega uchumi kwa sasa.....ila wanaSikinde ngoma ya ukaye sijawasikia kitambo!
Yale majengo yao na Kibisa ngoma Troupe Sikinde Ngoma ya Ukae vilizalisha ajira nyingi kwa watu wa Dar. Kuna uwezekano vifufuliwe
 
DDC ipo ila mambo ya kibisa nadhani waliachana nayo.

Unajua wakati ule muziki wa dansi ulitamalaki hata Freeman pale kwenye hotel ya baba yake Disco lilikuwa haliingizi fedha kama ya Sikinde, Maquiz OSS, Matimila mzee Makassy na bendi nyingine za Jazz!
 
Hizi bendi zilikuwa na mabasi yao, wakipiga Kinondoni Vijana Hall walikuwa wanashuka kwenye mabasi yao
 
DDC ipo ila mambo ya kibisa nadhani waliachana nayo.

Unajua wakati ule muziki wa dansi ulitamalaki hata Freeman pale kwenye hotel ya baba yake Disco lilikuwa haliingizi fedha kama ya Sikinde, Maquiz OSS, Matimila mzee Makassy na bendi nyingine za Jazz!
Hakika wewe ni mkongwe. Shikamoo
 
DDC Mlimani Park Orchestra. Vibao kama Celuna, Talaka rejea, Kasimu, Conjesta, Chenga ya mwili Dar Airport, Bubu ataka kusema,.... yaani....

Vv
IMG-20200905-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom