Miaka ya 60 tulikuwa tunalingana na Korea kimaendeleo, hawa jamaa walijikwaa wapi mpaka tukawaacha mbali kiasi hiki!

Ukifuatilia history ya China, Korea na India ambazo watu wanadai tulikuwa nazo sawa kipind tunapata uhuru utakuja gundua ni uongo sanaaa,

Wakati tunapata uhuru kina TATA india washakuwa wakubwa sanaaaa, China kwenyewe walikuwa na makampuni makubwa sana, ila Tz bado suala la elimu tu na Afya tulikuwa hatuna,
 
Leo asubuhi nilikuwa naangalia tv moja ya Korea kusini nilishangazwa na maendeleo hafifu ya hawa jamaa na nilipoangalia historia nikakuta kumbe miaka ya Uhuru tulikuwa karibu sawa.
Wakati Tanzania tumepiga hatua kubwa kiasi hiki wao bado wamelala usingizi mzito.
Sisi tunatengeneza Magari, electronics, kilimo uhakika wao bado wanajivuta.
Wataalamu wa uchumi,shida ni Nini kwa hawa ndugu zetu?
Tuone picha za Korea
 
Ukifuatilia history ya China, Korea na India ambazo watu wanadai tulikuwa nazo sawa kipind tunapata uhuru utakuja gundua ni uongo sanaaa,

Wakati tunapata uhuru kina TATA india washakuwa wakubwa sanaaaa, China kwenyewe walikuwa na makampuni makubwa sana, ila Tz bado suala la elimu tu na Afya tulikuwa hatuna,
Mpaka sasa bado.
Kwanza tuwe na viongozi wenye nia ya kweli, waaminifu, na sheria kali za kulinda mali za umma.
China kuna mkulima alitiririsha sumu kidogo mtoni, alinyongwa! Kwetu ni tofauti, mtu anaitia hasara nchi anakuwa mfanyabiashara mkubwa!!
Watu wanasifu hata pale nchi inapochezewa!!!
 
Siku ukijua kuwa shida si viongozi bali jamii nzima utakuwa na amani.
Akina nchemba, kubudi si mali ya nje kwamba tuliwai-import ili waje watawale bali wametoka mtaani kwetu. Wana akisi vile tulivyo.
Ni viongoza mkuu...
NI VIONGOZI.
Wasome Singapore, ni kiongozi alieamua nchi isonge mbele na ikasonga...
 
Unachanganya mambo, miaka hiyo ilikuwa ni English monarchy kwa hiyo ni english monarchy ndiyo iliyokuwa sawa au zaidi ya Korea lkn siyo sisi, sisi hatujawahi kuwa sawa au kumzidi yoyote yule kiuchumi, …
Mkuu, inaelekea hujamwelewa mtoa mada! Au wewe hukuangalia taarifa ya habari?

Unailinganisha nchi yetu na Korea? Haujui tulivyowaacha mbali kiuchumi? Tukoo mbali sana kimaendeleo, Korea hawatufikii hata kidogo. Au niseme hawatukaribii hata kwa mbaaali!!!

Sisi tuna viwanda vikubwa vya kutengeneza magari. Nitajie alau hata kimoja cha South Korea, kitaje kama kipo. Hawana kiwanda cha magari, bado unatulingamisha nao?

Sisi tuna maviwanda ya maana ya electronics, shipbuilding, telecommunications, chemicals, steel etc. Wao Wana vinavyotambulika dunianai? Wana viwanda gani vinavyoheshimika Kimataifa? Labda vyerehani vinne?

Unajua cherehani? Ile ya kushonea nguo. Zikiwa nne, zinaitwa kiwanda kwa huko kwake! Unajua Wakorea wanachekesha sana ee!!! Vyerehani vinne ni kiwanda? Sijui maajabu yataisha lini Korea! Si waje kwetu kujifunza uchapa kazi?

Kama Wakorea wamekutuma uje kuwapigia debe kuwa wameendelea kama sisi, waambie hatudanganyiki. Sisi tupo level nyingine. Wawatafute "watoto wenzao", watuache sisi na wakubwa wenzetu!

Unataka wa kutulinganisha nao? Nakutakia wachache: Japan, Singapore, Malaysia, Srilanka, alau kidoogo, japo naye bado ni kabwana mdogo, lakini alau afadhali kidogo, South Africa. Bora utulinganishe hata na "dogo" South Africa kuliko katoto kadogo kama Korea.

Umenipata kiongozi? Namaanisha, mtoa uzi hajakosea!
 
Hao viongozi uwa tunawaagiza kutoka nje ama ni hawa hawa tuliokua nao mtaani?.
Nchi haiendelezwi kwa kuwa na viongozi wazuri tu bali wananchi wenye akili.
Sisi akili hatuna na bado tumeruhusu vilaza wenzetu watutawale.
Nikimsoma Musa Yar'adua najiona mimi Nakuona wewe.
Tutulie dawa ituingie, mbaya zaidi hakuna wa kutusaidia.
 
Ukiacha elimu yetu duni ambayo haizalishi watu wengi wenye weledi wa kutosha pia tuna sera mbovu za kiuchumi.

Uongozi mbovu usiozingatia utawala thabiti wa sheria ambao haulindi haki za wananchi na kuwawezesha wawekezaji. Tanzania tuna utawala dhaifu ambao umewezesha ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji.
Mungu akulipe na akubariki 🙏🤲
 
Wakorea hawawezi kuendelea mpaka wanaenda Motoni ni sawa na yule mtoto alieachiwa mali za urithi harafu ni Mjinga atabaki kuuza uza hovyo ili apate mademu tuu ndio jinsi ilivyo hiyo Korea Kusini..
 
5. Watu wake wengi hawana exposure na mambo ya mataifa mengine. Katika ukanda wake, inaweza ikawa ndiyo nchi inayoongoza kwa watu wake kutokwenda nchi zingine. Hata utoaji tu wa passport ni nongwa haswa. Hawatoi passport mpaka kusudi la safari lithibitishwe. Wakati mwingine, huweza kutakiwa hata kuonesha tiketi ya ndege kabla ya kupewa passport.

Umgonga ndimo kabisa.
 
Wakorea hawawezi kuendelea mpaka wanaenda Motoni ni sawa na yule mtoto alieachiwa mali za urithi harafu ni Mjinga atabaki kuuza uza hovyo ili apate mademu tuu ndio jinsi ilivyo hiyo Korea Kusini..
Tusubili viongozi wachawiwachawi wafe
 
Back
Top Bottom