Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,990
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, huamua na hutenda kwa wakati wake
Nilikaa mtaani miaka 7 baada ya form 6 nafanya mishe mishe na hustling za hapa na pale, nikaona nirudi shule pamoja na kuanza kushika vijisenti,
mwanzo iliniwia vigumu sana ilibaki kidogo niache maana nilishaanza kuonja utamu wa kushika hela yangu mwenyewe kitaani na sasa inabidi nitegemee sapoti ya ndugu maana hata wana niliokuwa nahustle nao michongo wakawa hawanipi tena sababu wanajua nipo xul
Fast forward, baada ya chuo nilikaa mtaani mwaka mmoja tu nikapata ajira ya kudumu yenye maslahi kupitia elimu hii hii ya ndani
So inategemea na mipango yake Mungu, elimu yetu inaweza kuwa ina changamoto zake lakini wengi wametoboa na wanasogeza gurudumu la maisha yao kutokana na elimu hii hii.
Conclusion: Ukipata Elimu ya Bongo jiongeze na weka bidii utatoboa tu either kwa kuajiriwa au kujiajiri