jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,099
- 35,906
Vipi wale babu zake mzee kilizi..wakina duly sykes na genge lao walitajwa?Oscar Kambona hajatajwa kwenye orodha ya wapigania uhuru
Back to the topic..hotuba ilijaa matukio ya uhuru na tulipofikia..ila nilichoka kusikia mkoloni alituachia meli 6..miaka 60 ya uhuru sasahivi tuna meli 14..ina maana 60yrs tumeongeza meli 8 tu..huu ni upumbafu...ccm laana..wimbo wa maradhi..ujinga na umasikini bado unaibwa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app