maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,774
- 2,297
Habari za humu wanajamvi?
Naamini mko vizr. Moja kwa moja naenda kwenye mada. Zaidi ya Hivi miaka 60 ya uhuru bado tz ni iko na umaskini
Hakuna maji safi. Hakuna education nzuri. Hakuna viwanda kwa kiwango cha kuuza nje ya nchi
Kiujumla hakuna tulichomudu kwa miaka 60 cha kuweza kutembea kifua mbele
Tatizo liko wapi nani katuloga watu tuko kwenye umaskini wa kutisha
Tuna matatizo sana
Korea, Singapore, China na Brazil miaka ya 60 Tulikuwa level Sawa lakini wametuacha mbali sana
Nini kifanyike ndugu zangu wa tz karibuni