Miaka 40 sina nachomiliki zaidi ya smart phone

Miaka 40 sina nachomiliki zaidi ya smart phone

Mtoa mada mamame ww japo kuwa yesu yupo kwa baba yake ila ana kazi nzito kule ambayo mzazi wake anaitaji kampan ya mwanae lakin ww upo kuosha vyombo asee mamamae
 
Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.

Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Mimi sioni kama Kuna shida.
Kwa sababu uko kwenu na sio kwa watu.
 
Anus ni tarumbeta nzuri sana je nani ana ujasiri wa kuipuliza??
 
Pwani mtu miaka 50 anakula na kushiba kwa baba na mama

Nikaja kugundua kwa nini mazee ya pwani yanapenda kijana aoe mapema.! Kumbe ni kuchangamsha akili

Ila kadiri mda unavyoenda hata hila hii inafeli
 
Huyu namfahamu, kwanza ni KE halafu yupo kati ya 20 na 26years old, ana mtoto mmoja anaitwa mariam yupo kitani anatembeza maziwa ya mgando.
 
Back
Top Bottom