gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,827
- 18,522
Wote hawana kitu wenye kitu hawana lepe la nia kukusaidiaNi kweli. Ila bado kuna namna anaweza kupambana zaid. Nje hata ya hao wana.
Kuna ndugu, kuna dada au kaka.
Bas kuna baba mdogo au mkubwa.
Kulima kunataka pesa,kulima ekari moja ya bustani utahitaji 2mTuseme wote hao hamna mwenye uwezo.
Kuna kulima, kuna kufuga.
Tuseme hawana mashamba na mifugo
Ukifika 40 mwili hugoma kazi ngumu mzee, nakumbuka mwili ulivyokataa kazi za tofali na madogo wa 20s walivyokua wananitia maneno ya shombo,niliziwia sana machozi nipate hela ya kula.
Kuna kwenda mjini kuomba vibarua sehem kaz zisizo na ujuzi mfano kubeb mizigo, usafi, kuna kondakta, bodaboda, udalali.
Apambane aone wap anaweza kufanya.