Miaka 40 sina nachomiliki zaidi ya smart phone

Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.

Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Mtoto kwa mzazi hakui endelea kula maisha usisikilize wahuni.
 
Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.

Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Unyabeeee sana mwananguuu 🔥🔥🔥
Haya ndio maisha sasa ya kuishi
 
Miaka 40 uvivu ushaanza kukunyemelea. Nguvu zinapungua, ari ya kupambana na maisha kama hukuwa nayo ukiwa 20+yrs bas hapo ulipo ndio gudubai.

Vijana tupambaneni.
kuna muda ukifika alaf ukawa hauna hiki au kile jamii inayokuzunguka itakuona mduwanzi.
Hadi watoto wa nyumbani kwenu watafundishwa kukudharau
 
Bado nipo kwa bi mdashi na mzee naishi fuleshi tu sina mali yeyote,kazi au kitega uchumi chochote kiufupi naenda kama houseboy nashughulikia mambo yote ya nyumbani kama usafi nk.

Sina mtoto wala sijaoa sina majukumu kwaujumla muda mwingi najikita kutazama runinga kipindi baada ya kipindi nikisubiri mabadiliko na maisha bora apo baadae
Shida ni nini?!
 
Meli imegonga ukingo mzee,labda kacharika sana halafu hakuna kitu,unabaki unatazama mbele ulimi nje kama mbwa na huko mbele hakuna unachotazama,haya maisha we yaache tu
inawezekana alijipata alaf baadae mistake za maisha zikamrudisha home.

Maana wako waliorudisha mpira kwa Kipa weng tu.
Ila pia ukirud home sio ndio unalowea mazima. Unanyuti mie kadhaa then unarud kupambana. This time ukiwa na umakin zaidi.

Anyway. Mwanetu sijui nn kilimsibu. Ila 40 yrs na uko home ni uduwanzi.
 
Ramani ya kurudi haisomeki,waliposema 'amefulia' walimaanisha amefulia ramani ya maisha
Ukifika 40 washkaji zako wote Wana majukumu ya ada nk,hakuna wa kukupa mkono,huna senti,hujui uanzie wapi,hela ya boksa tu huna
 
Miaka 40 uvivu ushaanza kukunyemelea. Nguvu zinapungua, ari ya kupambana na maisha kama hukuwa nayo ukiwa 20+yrs bas hapo ulipo ndio gudubai.

Vijana tupambaneni.
kuna muda ukifika alaf ukawa hauna hiki au kile jamii inayokuzunguka itakuona mduwanzi.
Miaka 40 ni mingi sana ukiwa 20+ mpaka utakapoifikia ndo utagundua kumbe 40 sio miaka mingi.
 
Ramani ya kurudi haisomeki,waliposema 'amefulia' walimaanisha amefulia ramani ya maisha
Ukifika 40 washkaji zako wote Wana majukumu ya ada nk,hakuna wa kukupa mkono,huna senti,hujui uanzie wapi,hela ya boksa tu huna
Ni kweli. Ila bado kuna namna anaweza kupambana zaid. Nje hata ya hao wana.
Kuna ndugu, kuna dada au kaka.
kuna baba mdogo au mkubwa.

Tuseme wote hao hamna mwenye uwezo.

Kuna kulima, kuna kufuga.
Tuseme hawana mashamba na mifugo.

Kuna kwenda mjini kuomba vibarua sehem kaz zisizo na ujuzi mfano kubeb mizigo, usafi, kuna kondakta, bodaboda, udalali.

Apambane aone wap anaweza kufanya.
 
Back
Top Bottom