Miaka 3 tangu kufariki kwa CPWAA, unamkumbuka kwa wimbo gani?

Bongo crank ndo mziki gan?
Aina flani ya muziki ulitamba sana hususani mid 2000s hadi mwanzoni mwa 2010s. kamsikilize Tpain utauelewa

Ila bongo Cpwaa ndio alikuwa king wake, na kuna vipindi watu kama Quick Racka walikuja vizuri ila baada ya ule muziki kupotea
 
The luckiest dude yuko wapi huyu jamaa sikuhizi????
Niliona kipindi flani alikuwa Shujaaz ya Kenya na kwa Tz alikuwa Tai. Naona jamaa bado anafanya kazi za kibunifu kama consultant ila ukitaka kujichanganya nae online, yupo active sana Twitter "X"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom