Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

mimi nafanya kazi mshahara m1.2 lakini sijawahi kutia milioni mfukoni. kama nimerogwa vile

unakuta advance nachukua laki 4 na mwisho wa mwezi wakikatakata makato yao nabaki na laki nne na ushee.

kusomesha,kuuguza,kulea familia,matumizi yangu job na kujirusha kidogo....ni msiba mtupu hata kiwanja sina lakini watoto wanapiga shule fresh wa kwanza kamaliza vasite ,wa pili yuko f6 na wa tatu anaenda chuo kupiga cert.

nitajenga Mungu akipenda...pale majanga yatakapoisha

HAVE COURAGE NA ANZA KUSEVU KIDOGOKIDOGO KAMA HUNA MAJUKUMU, M ITAFIKA TU
Una umri gani..??
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha. Sio nacheka kwamba nafurahi ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu. Mbaya zaidi nachoka nikisikia mtu anamiliki million 900, au anamilion 70 anatafuta mradi wa kufanya.

Sijui labda ni mimi ndo nahisi nina tatizo lakini hata kwa uhalisia naona itakuwa hivyo si kwamba mishe sifanyi napiga tu, shule ninayo, sasa ni nani kaniroga? Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience.

Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani?

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] View attachment 376348
ILi kuipata Milioni moja inakubidi kwanza ujue nini matumizi yake. Huwezi kuipata kama hauna matumizi nayo.
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha. Sio nacheka kwamba nafurahi ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu. Mbaya zaidi nachoka nikisikia mtu anamiliki million 900, au anamilion 70 anatafuta mradi wa kufanya.

Sijui labda ni mimi ndo nahisi nina tatizo lakini hata kwa uhalisia naona itakuwa hivyo si kwamba mishe sifanyi napiga tu, shule ninayo, sasa ni nani kaniroga? Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience.

Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani?

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] View attachment 376348
Tafuta kazi Serikalini
 
WASHAURI WENGI WAULIZE WAO WANAZO wabongo kwa kuongea kila mtu mwalimu
 
"A man's wealth is not measured by the amount of money in his purse but what constalntly goes in and out of that purse" ....kuna kuwa na akiba ya millioni moja ilo rahisi sana kama unataka ila kuna la pili kufanya million moja ziwe fedha zako za matumizi ilo linawezekana pia ssa ww unataka lipi?
 
Wewe ni genius mm nilipoona hilo neno vasite cha kwanza kunijia akilini ni mtu asiye na family, kweli ni hadithi ya kutunga.
Hahah Mkuu humu tuko na vijana wadogo wanaojidai kujivisha majukumu ya wazazi
 
Ama kweli msiba wa wengi furaha.
Mimi mwaka 2013 nilifilisika biashara yangu hadi nikawa nakula maandazi ya Bakhresa mawili na na maji ya Kandoro ili yakavimbiane tumboni.
Huo ulikuwa mlo wa usiku, asubuhi nilikuwa sigusi kitu natafuta michongo tu.
Kuna watu bado nilikuwa nawadai, kwa hiyo akilipa deni nakula ugali dagaa wa 1200 katikati ya usiku na mchana yaani mida ya saa 11 jioni then naunga hadi kesho.
 
mimi nafanya kazi mshahara m1.2 lakini sijawahi kutia milioni mfukoni. kama nimerogwa vile

unakuta advance nachukua laki 4 na mwisho wa mwezi wakikatakata makato yao nabaki na laki nne na ushee.

kusomesha,kuuguza,kulea familia,matumizi yangu job na kujirusha kidogo....ni msiba mtupu hata kiwanja sina lakini watoto wanapiga shule fresh wa kwanza kamaliza vasite ,wa pili yuko f6 na wa tatu anaenda chuo kupiga cert.

nitajenga Mungu akipenda...pale majanga yatakapoisha

HAVE COURAGE NA ANZA KUSEVU KIDOGOKIDOGO KAMA HUNA MAJUKUMU, M ITAFIKA TU
lazima una tatizo, kwanza kujua kuna spirt hata hiyo picha umewekwa kwenye acc yako inaashiria kuna spirit inakunyemelewa. Omba mungu funga na kusali uataona pesa inakaa
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha. Sio nacheka kwamba nafurahi ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu. Mbaya zaidi nachoka nikisikia mtu anamiliki million 900, au anamilion 70 anatafuta mradi wa kufanya.

Sijui labda ni mimi ndo nahisi nina tatizo lakini hata kwa uhalisia naona itakuwa hivyo si kwamba mishe sifanyi napiga tu, shule ninayo, sasa ni nani kaniroga? Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience.

Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani?

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] View attachment 376348
Hii nchi mgumu kweli!! Komaa jombaa...alafu ukute upo dsm...moshi au arusha!!
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha. Sio nacheka kwamba nafurahi ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu. Mbaya zaidi nachoka nikisikia mtu anamiliki million 900, au anamilion 70 anatafuta mradi wa kufanya.

Sijui labda ni mimi ndo nahisi nina tatizo lakini hata kwa uhalisia naona itakuwa hivyo si kwamba mishe sifanyi napiga tu, shule ninayo, sasa ni nani kaniroga? Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience.

Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani?

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] View attachment 376348
Sasa wewe kila siku uko kwenye MAANDAMANO YA KINA LISSU NA MBOWE,Wanakutumia kuingiza MAMILIONI YA KULA WAO NA WAKE ZAO,Then unategemea upate MILIONI Lini.
"If you must change the way YOU PERCEIVE THINGS"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom