Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Mh nawewe kama mimi Tu nakula kwa sababu ni lazima nile na nalala inapobidi Tu nifanye hivyo eeh Mungu naomba unione Mja wako


aah Mkuu, ya kweli hayo? wewe kilimo kimekutoa sana tu. Teh

-Kaveli-
 
Alaf ukimuuliza utakuta ana smartphone ya laki 6 vijana bwana
 
Dah... Muone Prof mshana jr
1459020658013-jpg.332745
 
aah Mkuu, ya kweli hayo? wewe kilimo kimekutoa sana tu. Teh

-Kaveli-
ukiwa na kazi za kufanya kama hizo ni lazima kula na kulala kunapungua sana Tu
Huwa natamani hata ninunue hats hisa Tu
Kazi zinazohitaji close supervision kama kilimo kula lazima ule kwa sababu ni lazima na ulale kwa sababu imebidi iwe hivyo
 
Vijana wengi tunaishi maisha ya kuungaUnga tu. Hatuna Furaha!

Nina pesa nyingi kichwani ila kuziweka mkononi ndo kimbembe!

Mabeki kibao, kushinda inahitaji juhudi na sala.

The key fortune that I am always thankful for, ni AFYA tu!

BTW... we mleta mada, nini uhusiano wa bandiko lako na hiyo picha uliyoattach?

-Kaveli-
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha!! Sio nacheka kwamba nafurahi Ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu!!
Mbaya zaidi nachoka nikisikia MTU anamiliki million 900, au anamilion 70 anatafuta Mradi wa kufanya!!

Sijui labda ni Mimi ndo nahis Nina tatizo!!lakin hata kwa uhalisia naona itakua hivo!!
Si kwamba mishe sifanyi napga tu,shule ninayo, SASA NI NANI KANIROGA

Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience!!
Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani ???

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] View attachment 376348
mkuu umeajiriwa na kama ndyo salary kias ganI?
 
Tatizo kubwa la kibongo Tunawaza sana namna ya kutumia Pesa kuliko Kutafuta Pesa, Yani hii ni pale mtu anawaza apate saa nzuri, gari nzuri, kuhonga! Sasa Muda Mwingi hatutumii kuwaza namna ya kuchange Ideas into Cash. Tunawaza Namna ya Kubadili Cash into Viatu na anasa. Siku zote ukipata Pesa, Usiwe na Presha, tulia kabisa, kama ukiweza achana nayo, we endelea na Maisha ya kawaida kabisa, Halafu baada ya Muda utagundua kuna kitu kizuri cha kuifanyia. Hata wale ambao wanatengeneza Video, ukiwa shooting Mtachukua scene nyingi sana, Lakini wale Maproducer na Madirector wa Video huwa wanahitaji sana muda ili watoe kitu kizuri. vivyo hivyo ukiwa kijana Jitahidi kuwa na Malengo, epuka gharama zisizo za lazima, kuwa na nidhamu ya pesa, Fanya kazi kwa bidii, tengeneza Networking na Watu wakupe Ideas na Market, ukipata pesa usiwe na pupa, just vumilia, Naamini hiyo 1million kuna siku utakuwa unawapa Ofa watu, kwa sababu utakuwa Billionea.
 
Bwana mdogo acha kuishi maisha ya kwenye video.....na ubaki kwenye uhalisia.......ongez umakini kwenye matumizi ya pesa zako......jitahidi kusimamia bajeti zako......tumia hela pale ambapo kuna ulazima wa kufanya hivyo......
Punguza mahitaji au matumizi yasiyo na msingi...achana na wanawake......
Mwishowe utaiona hela yako......

M
 
Afadhali yako wewe unawaza milioni, mimi nawaza jinsi ya kupata mlo mmoja wa siku, nikipata mia tano naenda kwa mama ntilie ananikwangulia ukoko na maharage au mchuzi siku imepita

mkuu MKWEPA KODI na hii ya kununulia bundle la kuingia JF unapata wap???
 
Una
Simu 150000
ZViatu pea 5 200000
Nguo za kijanja 500000
bando mwaka500000
Kuhongahonga 300000
Kulakula hivyo n.k
Acha utani kijana
Na ulianza ukiwa na miaka 20
Adi Leo umeshamiliki zaidi ya ml 15
Naona umepiga bonge la mchanganuo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bwana mdogo acha kuishi maisha ya kwenye video.....na ubaki kwenye uhalisia.......ongez umakini kwenye matumizi ya pesa zako......jitahidi kusimamia bajeti zako......tumia hela pale ambapo kuna ulazima wa kufanya hivyo......
Punguza mahitaji au matumizi yasiyo na msingi...achana na wanawake......
Mwishowe utaiona hela yako......

M

Word !
 
Tatizo kubwa la kibongo Tunawaza sana namna ya kutumia Pesa kuliko Kutafuta Pesa, Yani hii ni pale mtu anawaza apate saa nzuri, gari nzuri, kuhonga! Sasa Muda Mwingi hatutumii kuwaza namna ya kuchange Ideas into Cash. Tunawaza Namna ya Kubadili Cash into Viatu na anasa. Siku zote ukipata Pesa, Usiwe na Presha, tulia kabisa, kama ukiweza achana nayo, we endelea na Maisha ya kawaida kabisa, Halafu baada ya Muda utagundua kuna kitu kizuri cha kuifanyia. Hata wale ambao wanatengeneza Video, ukiwa shooting Mtachukua scene nyingi sana, Lakini wale Maproducer na Madirector wa Video huwa wanahitaji sana muda ili watoe kitu kizuri. vivyo hivyo ukiwa kijana Jitahidi kuwa na Malengo, epuka gharama zisizo za lazima, kuwa na nidhamu ya pesa, Fanya kazi kwa bidii, tengeneza Networking na Watu wakupe Ideas na Market, ukipata pesa usiwe na pupa, just vumilia, Naamini hiyo 1million kuna siku utakuwa unawapa Ofa watu, kwa sababu utakuwa Billionea.


Thanks sana Mkuu Von Mo , ujumbe murua sana kwa sisi vijana ambao bado 'hatujatoka'.

-Kaveli-
 
Wewe itakua ukawa tu, maana hata chama cha pale ufipani kina miaka 20 lakini hakian hata uwanja wa chama....
 
Hakuna mzazi wa kuandika University eti Vasite, story ya kutunga hii
Wewe ni genius mm nilipoona hilo neno vasite cha kwanza kunijia akilini ni mtu asiye na family, kweli ni hadithi ya kutunga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom