Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

mimi sasa ndiyo na mtoto ana miezi3 umri wangu miaka 51 je? nimechelewa? nanimepata mtoto wa kike
 
wala umri c kigezo cha kuwa na mtoto,,kwan ukiacha au usipoacha hiyo legacy inabadilisha nn labda umefariki ndo utafufuka kisa umeacha legacy???,,,,kikubwa n kuwa tayar kutunza legacy na kuiandalia future hiyo legacy sio unaacha legacy inateseka
 
na mtu niliye zaa nae siyo mke ni mwanamke wa mtu nimemuachisha kwa mume wake kule kazaa watoto 2 ila kwangu nilimwambiya akinizaliya inje ndiyo nitamuoa sasa kazaa na oporesheni na mtoto aliyo zaliwa ni mweupe sanaa mie ni mweusi na baba watoto wake ni mweupe je hapo ! na nyumba nimemununukiya gari na vitu vyandani vyotee na kazi nimemuachisha namlipa mimi !mke wangu hazai
 
Chagua tusi mwenyewe kabla mods hawajaja
 
Kuwahi kutoa mimba au kuchelewa kutoa mimba haifai na haipendezi mbele ya jamii wala mbele ya Mungu..kama huna mpango wa kupata mtoto tumia njia za kitaalamu (au acha kabisa kufanya) lakini usitoe mimba.

Vijana wengi wakitia mimba watoto wa watu au wanafunzi wanaishia kukimbia miji au vijiwe, japo ndo heshima mtaani na maskani lakini wanakimbia majukumu yao. Mtoto wa kike akishapata mimba nae balaa lote anawaachia wazazi, huku malengo, masomo au ndoto zake zikipotea.

Watoto wengi wamelelewa kwa kukosa malezi baba na kuongezeka kwa single mothers.
Ni vema kuzaa/ kupata mtoto ukiwa ndani ya ndoa
 
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.

Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.

Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza

jamaa yangu unawaza kama kiwavi jeshi anayekula mpaka jani alilolalia.
 
hahah.. mi mbona nina umri huo ila sioni issue... kwanza sina plan ya kuoa /kuzaa hadi nigonge 30 hivi.. na hapo kama sijanunua Discovery 4 ..sizai wala kuoa,
 
hahah.. mi mbona nina umri huo ila sioni issue... kwanza sina plan ya kuoa /kuzaa hadi nigonge 30 hivi.. na hapo kama sijanunua Discovery 4 ..sizai wala kuoa,
Yeah...Yeah.... that's great mind

Ukimbilie kuzaa ili iweje labda? Kisa eti umefikisha 27-30 yrs? I call it a SHIT!!!!
 
Hiyo ni sheria ibara namba ngapi labda? Nyie ndo mnawasababisha wadada wasiojiamini kukimbilia ndoa na kujikuta wakijuta ,we sio Mungu kila MTU ana maisha yake ,na mda wake pia
 
na mtu niliye zaa nae siyo mke ni mwanamke wa mtu nimemuachisha kwa mume wake kule kazaa watoto 2 ila kwangu nilimwambiya akinizaliya inje ndiyo nitamuoa sasa kazaa na oporesheni na mtoto aliyo zaliwa ni mweupe sanaa mie ni mweusi na baba watoto wake ni mweupe je hapo ! na nyumba nimemununukiya gari na vitu vyandani vyotee na kazi nimemuachisha namlipa mimi !mke wangu hazai
Sio kweli
 
Kwanza dunia hii ya leo hakuna mwanamke anayetaka kubebeshwa mimba alafu kesho yake haijui ipoje,nyie ndo wale baba zenu wana walea mpaka mnafia manyumbani kwenu,kwahili mkuu umefeli
 
Kwanza dunia hii ya leo hakuna mwanamke anayetaka kubebeshwa mimba alafu kesho yake haijui ipoje,nyie ndo wale baba zenu wana walea mpaka mnafia manyumbani kwenu,kwahili mkuu umefeli
Wewe huzai bila shaka
 
Mkuu sidhani kama kukimbilia kuoa au kuzaa kisa umri umenda ni dili ila kinacho matter hapo una plan gani kichwani wengine tuna waza kuwa na familia pale unaona ntaweza kuipa mahitaji yake muhimu ikiwemo watoto wasome vizuri sio wasome tu wasome vizuri, wale na kulala mahala pana eleweka sio una miaka 27 una kimbizana na nyumba za kupanga watoto umezaa watatu kodi tu mwisho wa mwezi ina kutoa jasho je hiyo ada ya watatu utaweza? so kuwa na mipango nadhani ndio jambo la kuangalia zaidi
 
Back
Top Bottom