Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
usiniwekee maneno mdomoni sijasema ni maneno yana maana sawa, nimesema ni maneno yasiyopingana !
Sina sababu ya kuremba maneno ya lissu, niyarembe ili iweje ? Kwani mimi msaidizi wake ? Ninaweza kuona situation ya kisiasa tz na kufikia conclusion zangu mwenyewe na ambazo naweza kuzisimamia regardless lissu, wewe, mbowe, slaa au mtu mwingine yeyote atasemaje.......wewe na maccm wenzako mnachotaka kusikia ni kwamba cdm kinakufa, kipo kwenye mgogoro etc na ndio maana ukisikia kauli yeyote ya viongozi wa cdm inayoashiria utaing'ang'ania kwa nguvu zote sababu ndicho unachotaka kusikia ! Lissu angesema cdm kiko imara, ungekubaliana naye ? Ofcourse not ! Why ? Kwa sababu you don't want to believe that !
Kwangu it is very obvious kwamba ccm wana hali mbaya kupita cdm......wakati harakati za kumfukuza msaliti zitto zilipokuwa at its peak, matamko ya kupingana kutoka kwa wanacdm hayakuwa mengi kama yalivyo sasa hivi kwa ccm....na hicho ni kitu kimoja tu....nikienda kwa upande wa nani anapata wanachama wapya wengi, nani analoose wanachama wengi kila siku na mambo mengine mengi yanayoashiria kukua au kudhoofika kwa chama, ccm ndio hamtaamka kabisa !
mkuu kwa hiyo mimi na wewe tuna kubaliana kuwa lissu amesema chama bado hali si shwari?
Basi tumpongeze kwa kusema ukweli.