Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,312
Lissu anatafuta maneno na Lema pamoja na Mbowe.
we mwenyewe zaidi ya kuandika kulia kwenda kushoto hamna zaidi unalojua

unaandika yasiyo husu.
Tundu Lissu kasema kwa kiswahili chepesi kuwa mgogoro umekitisa chama na wala hakuhitajiki kutafsiri hapa.
Hata dr slaa aliposema kuwa mabomba ya gas yameelekezwa ulaya ili kuiba gas yetu mlikuja na story kama hizi za kujifanya watafsiri.
Kwa pamoja tumpongeze Tundu Lissu kwa kuusema ukweli ulio mshinda Dr.W.Slaa.
Huku Dr.W.Slaa anasema chama kiko himara.
Huku Tundu Lissu anasema chama kimetikisika.
Nani mkweli sasa?

mkuu kwani uwezi kujenga hoja bila matusi? Umenichekesha sana kusema mtikisiko na uimara ni maneno yenye maana sawa!mtikisiko na uimara ni kauli ambazo hazipingani wewe mbulula !
Kitu kinaweza kikawa kimetikiswa lakini bado ni imara ! Hiyo iko wazi sana kasoro kwako wewe mbulula na maccm wengine!
Angesema chama kimekuwa dhaifu hapo ungeweza kusema amepingana na dr. Slaa, lakini kusema kimetikisika haina maana kwamba kikishatikisika tu uimara wake unaondoka !
Mtikisiko unaweza kusababisha madhara ambayo hatimaye yanakifanya chama kinakuwa dhaifu (au kinafufa) na hivyo kinakuwa si imara tena.....lakini mtikikisiko unaweza ukatokea lakini usilete madhara ya kusababisha udhaifu, kama ambavyo imetoke kwa cdm....
Ni mbulula tu kama wewe anayeweza kusema cdm si imara tena, haswa baada ya kushuhudia umoja wa wana cdm ktk opereshini inayoendelea kwa sasa !. Hilo halihitaji kusubiri lissu aongee, kama unafuatilia kinachoendelea katika medani za siasa hapa nchini, unahitaji akiliza kawaida kabisa kutambua kwamba cdm bado ni imara sana !
Huyu mleta uzi ni mwongo mkubwa anatia chumvi sana maelezo yake.Maelezo ya Tundu yalikuwa ya kisomi na kwa hiyo hawa wenye ubongo wa mende hawawezi kuelewaHayo ni maoni yake, Chadema ndiyo itakuwa imara zaidi, kwani bati lililopata kutu na kuvuja limeondolewa. Na palipoondolewa bati bovu patazibwa vizuri na maisha yataendelea.
kweli chadema kuna vurugu tajitahidi tujifunze utulivu kama mlionao nyie ccm hasa kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015
Tangu mwanzo wa mgogoro wa Zitto na Chadema ulionekana kuitikisa chadema toka mwanzo hakuna kiongozi hata mmoja ndani ya chadema aliye wai kukubali kuwa chama kimetikiswa na mgogoro huu mkubwa hadi sasa.
Leo kwa mara ya kwanza Tundu lissu akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 amekubali kuwa hali ndani ya chama chake si shwari kabisa.
Mh Tundu lissu alikwenda mbali zaidi na kusema hali si shwari na anategemea itakuwa shwari japo alionekana ni mtu asiye na matunaini kabisa.
Ikumbukwe kwamba tangu mwanzo wa huu mgogoro viongozi wengi wa Chadema wamekuwa wakisema hali ni shwari hili kuwafariji wana chama wao, lakini leo Mh Tundu lissu uzalendo umemshinda akaona aseme ukweli.
Tundu lissu aliendelea kukubali kuwa viongozi walio fukuzwa wana wafuasi wengi ndani ya chama nayo hii imewapa wakati ngumu sana na ame admit kuwa watapoteza wanachama kwa hatua walio chukua.
Nampongeza sana Mh Tundu lissu kwa kuonesha mfano na kuwa funza viongozi wa chadema kusema ukweli hata katika hali ngumu.
Ni wazi Mh Tundu lissu ameanza kukataa kuburuzwa hasa pale anapo takiwa kusema ukweli hata kama ukweli huo uta waumiza viongozi wa chadema.
HONGERA MH TUNDU LISSU KWA KUWA MKWELI NA MUWAZI.
SOURCE 😀AKIKA 45 ITV
-------------------------------
mkuu ni vyema ukachukua nafasi kumpingeza mh Tundu Lissu kwa kusema ukweli ilio mshinda Dr.W.Slaa
Huyu mleta uzi ni mwongo mkubwa anatia chumvi sana maelezo yake.Maelezo ya Tundu yalikuwa ya kisomi na kwa hiyo hawa wenye ubongo wa mende hawawezi kuelewa
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ndizi nyingi usababisha mtandio wa ubongoTangu mwanzo wa mgogoro wa Zitto na Chadema ulionekana kuitikisa chadema toka mwanzo hakuna kiongozi hata mmoja ndani ya chadema aliye wai kukubali kuwa chama kimetikiswa na mgogoro huu mkubwa hadi sasa.
Leo kwa mara ya kwanza Tundu lissu akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 amekubali kuwa hali ndani ya chama chake si shwari kabisa.
Mh Tundu lissu alikwenda mbali zaidi na kusema hali si shwari na anategemea itakuwa shwari japo alionekana ni mtu asiye na matunaini kabisa.
Ikumbukwe kwamba tangu mwanzo wa huu mgogoro viongozi wengi wa Chadema wamekuwa wakisema hali ni shwari hili kuwafariji wana chama wao, lakini leo Mh Tundu lissu uzalendo umemshinda akaona aseme ukweli.
Tundu lissu aliendelea kukubali kuwa viongozi walio fukuzwa wana wafuasi wengi ndani ya chama nayo hii imewapa wakati ngumu sana na ame admit kuwa watapoteza wanachama kwa hatua walio chukua.
Nampongeza sana Mh Tundu lissu kwa kuonesha mfano na kuwa funza viongozi wa chadema kusema ukweli hata katika hali ngumu.
Ni wazi Mh Tundu lissu ameanza kukataa kuburuzwa hasa pale anapo takiwa kusema ukweli hata kama ukweli huo uta waumiza viongozi wa chadema.
HONGERA MH TUNDU LISSU KWA KUWA MKWELI NA MUWAZI.
SOURCE 😀AKIKA 45 ITV
-------------------------------
zitto na lowasa ni yupi mwenye wafuasi wengi mpaka bakwata?
ndizi nyingi usababisha mtandio wa ubongo
Acha uongo wewe.!Amesema hali ndani ya chadema bado sio shwari.
Tangu mwanzo wa mgogoro wa Zitto na Chadema ulionekana kuitikisa chadema toka mwanzo hakuna kiongozi hata mmoja ndani ya chadema aliye wai kukubali kuwa chama kimetikiswa na mgogoro huu mkubwa hadi sasa.
Leo kwa mara ya kwanza Tundu lissu akiwa kwenye kipindi cha dakika 45 amekubali kuwa hali ndani ya chama chake si shwari kabisa.
Mh Tundu lissu alikwenda mbali zaidi na kusema hali si shwari na anategemea itakuwa shwari japo alionekana ni mtu asiye na matunaini kabisa.
Ikumbukwe kwamba tangu mwanzo wa huu mgogoro viongozi wengi wa Chadema wamekuwa wakisema hali ni shwari hili kuwafariji wana chama wao, lakini leo Mh Tundu lissu uzalendo umemshinda akaona aseme ukweli.
Tundu lissu aliendelea kukubali kuwa viongozi walio fukuzwa wana wafuasi wengi ndani ya chama nayo hii imewapa wakati ngumu sana na ame admit kuwa watapoteza wanachama kwa hatua walio chukua.
Nampongeza sana Mh Tundu lissu kwa kuonesha mfano na kuwa funza viongozi wa chadema kusema ukweli hata katika hali ngumu.
Ni wazi Mh Tundu lissu ameanza kukataa kuburuzwa hasa pale anapo takiwa kusema ukweli hata kama ukweli huo uta waumiza viongozi wa chadema.
HONGERA MH TUNDU LISSU KWA KUWA MKWELI NA MUWAZI.
SOURCE 😀AKIKA 45 ITV
-------------------------------
mkuu kwani uwezi kujenga hoja bila matusi? Umenichekesha sana kusema mtikisiko na uimara ni maneno yenye maana sawa!
Ni kukumbushe tuu mh Tundu Lissu aliongeza kwa kusema hali si shwari na anategemea hitakuwa shwari mbeleni.
Hupo hapo?
Naona mnajaribu kulemba kauli yake hili hiwapendeze lakini mnashindwa.
Kama na yeye mtamfukuza kwa kusema ukweli basi.
Lakini nakusihi tuungane kumpongeza.
misukule mnaweweseka sana,mmekuwa watu wa kudandia vihoja dhaifu tu kama m/kt wenu!!! Huyo msaliti alishafukuzwa na ndo ukweli wenyewe! Chezea cdm weye!