Mhe.Tundu Lissu ndani ITV

Mhe.Tundu Lissu ndani ITV

Kiingereza ni "tip of the iceberg" tu.

Wabunge wengi hata Kiswahili fasaha hawakijui, na zaidi ya hilo, hata critical thinking tu tabu. Ukisikiliza vipindi vya bunge utasikia tu, mostly utumbo mpaka mtu unabadili channel.

Tunaweza kulaumu Kiingereza kumbe tuna tatizo kubwa zaidi la the general level of education and culture of wonkism.

Kuna wabunge wachache sana wanaelewa kwamba sasa hivi kuna bonge la conference Cape Town kuhusu maendeleo ya sekta ya madini barani Africa pamoja na masuala ya industrial relations kwenye big mines na jinsi gani makampuni ya kimataifa yanaweza kuchangia kufaidisha wananchi zaidi.

Na Tanzania inatajwa katika nchi chache za Africa zinazoongoza katika uchimbaji wa madini.

"Explorers are very busy prospecting and looking for opportunities in countries such as Ivory Coast, inj Mail, in Tanzania, in Ghana," says Mbele, "Those who are looking for oil are in Sudan, Angola, and other such areas."

South Africa hosts major mining conference amid labor strife | Marketplace.org

Sasa mbunge kama huyu hata akijua Kiingereza, bila kuwa inquisitive, bila comprehension, atasaidia nini?
 
Lissu anapiga misumari,wabunge wengi hawajui kingereza ila wanatunga sheria kwa kingereza...

Si anajitoboa mwenyewe sasa, wanachagua mademu zao na massela kuwakilisha wananchi unategemea hata wakitumia kiswahili ndio wanakijua kweli?
 
Kama Deo Sanga mbunge wa makambako huko,kusoma kiswahili kwenyewe shida ndiyo itakuwa lugha ya waigereza hii?
 
Mbona yeye Tundu Lisu kwa wakili Msando aliomba Kitumike Kiswahili,baada ya kuchemka Kiingereza
CC
msando
 
Last edited by a moderator:
vyombo vya habari siyo vya kupiga kelele kama lisu yeye apige kelele wenzake wanafanya kazi kitaaluma.
 
huo ni ujumbe kwa ccm kuwa mkifumfukuza lowassa, nini kitawapata.

Kwa chadema, hiyo mbona imeshakuwa historia? Kama wa kuondoka, wameshaondoka tayari.

Jifunze kuwasoma wanasheria na zaidi wanasiasa. Akisema hiki, usifikiri anamaanisha hicho kweli.

Lowassa ni mtaji mkubwa wa watanzania na chadema kwa ujumla kwani lowassa na kikwete lazima ccm imeguke.

Ohh, hata maneno ya kikwete ya jana, usiyaamini sana. Anaweza kuwa na maana nyingine kabisa kuhusu lowassa.

unaandika yasiyo husu.

Tundu Lissu kasema kwa kiswahili chepesi kuwa mgogoro umekitisa chama na wala hakuhitajiki kutafsiri hapa.

Hata dr slaa aliposema kuwa mabomba ya gas yameelekezwa ulaya ili kuiba gas yetu mlikuja na story kama hizi za kujifanya watafsiri.

Kwa pamoja tumpongeze Tundu Lissu kwa kuusema ukweli ulio mshinda Dr.W.Slaa.

Huku Dr.W.Slaa anasema chama kiko himara.

Huku Tundu Lissu anasema chama kimetikisika.

Nani mkweli sasa?
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Tundu Lissu bora umekiri mjipange sasa kuongeza Chopa.
 
Last edited by a moderator:
Mbona yeye Tundu Lisu kwa wakili Msando aliomba Kitumike Kiswahili,baada ya kuchemka Kiingereza
CC
msando

Hapa Lissu naona alikuwa anazungumzia cha kuandika na cha kusoma maana ile miswada inaandikwa kiingereza ila kuchangia hoja unatumia kiswahili .
 
Last edited by a moderator:
Sio wabunge tu...hata wafanyakazi wengi wa mashirika na wizara.wengi wanajua cha kuombea maji...ni Tz nzima kuna tatizo...ndio maana mikataba mingi fake... hii lugha ni ngumu lazima ujue kisawa sawa ndio utawaweza
Na sisi mtaala wenywe wa kijamaa jamaa hatufiki
 
Lissu anatafuta maneno na Lema pamoja na Mbowe.

Kama Ccm mnapeleka hata waganga wa kienyeji bungeni ambae hajamaliza darasa la saba mnategemea nini??? Kina komba na Vicky Kamata viuno hadharan, ndio wako nungeni mnategemea nini??? Ccm ni janga.
 
unaandika yasiyo husu.

Tundu Lissu kasema kwa kiswahili chepesi kuwa mgogoro umekitisa chama na wala hakuhitajiki kutafsiri hapa.

Hata dr slaa aliposema kuwa mabomba ya gas yameelekezwa ulaya ili kuiba gas yetu mlikuja na story kama hizi za kujifanya watafsiri.

Kwa pamoja tumpongeze Tundu Lissu kwa kuusema ukweli ulio mshinda Dr.W.Slaa.

Huku Dr.W.Slaa anasema chama kiko himara.

Huku Tundu Lissu anasema chama kimetikisika.

Nani mkweli sasa?
Uuuuuwii chezea Zitto.
 
Last edited by a moderator:
unaonekana ulikuwa chumban na house girl ndo maana hujajua point za mh tundu lisu
kaa kimia pumbafu
 
Back
Top Bottom