Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Hakuna waziri atakayejiuzulu nakuhakikishia ukiona waziri mkuu anatoa hotuba ujue ndo imetoka hiyo. Hakuna jipya hapya
 
Hitimisho!: suala la katiba kuwaelemisha wananchi!
 
Anamaliza na hakuna lolote la maana. Kweli serikali yetu ni kiboko. Wizi wote huo hata kujibu au kusema lolote kuhusu huo wizi
 
Sijui anaongea nini, yupo ktk Elimu 10 mins, utashangaa ataanza kilimo, mifugo, afya, mahindi, maharagwe, mchicha, ng'ombe, nguruwe, mbolea, utalii, ardhi, mito, maziwa, bahari, anga, mvua, kiangazi, njaa, simba, yanga, kidato cha 4, std 7.. Walimu, wafugaji, wagonjwa, wafu, vichaa, madaktari, mkoa wa Mara, Mwatex, umeme, viwanda, maji, ukimwi, soko, pamba, ajira, umaskini, muda umeisha.... Speaker kaongeza muda..... Mkutano, atamaliza saa 5 ucku, na katupoteza wote, i am exhausted..... Now yupo A to Z alitembelea Minjingu.... Leo mtakoma, sasa Sanflag..... Jesus Christ..... leo ni leo....
Hiiiii kaanza Minjingu, sulphur, phosphorous, nitrate....
Mama yangu...... Kote alikotembelea kasema....sensa sasa.... Heeeeeh....
Sensaaaaaa weee 26 August 2012
Mawaziri WANACHEKAAAAA kisiri siri WANAJUA IMEPITAAA HIYOOOO.....

haaaa... sasa hivi kaanza ngombe, dume, jike, mbuzi, kuku, bata. ...!
 
Heee nimepoteza muda wangu bure. Mbona hajasema alichoahidi au hakuahidi kutoa tamko juu ya maamuzi ya vikao vya CCM kuhusu sakata la kujiuzulu?
 
Macho yangu au..... Anahitimisha.... Kweli siki0 la kufa......
 
Pinda anasisitiza elimu juu ya ukusanyaji wa maoni ya katiba mpya..jamani tutoe elimu kila mmoja kwa nafasi yake juu ya ili suala la katiba mpya.
 
Back
Top Bottom