Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

jamani ndio anahitimisha kwa kuwatakia wajumbe wote safari njema. wabunge naona kimya hawapigi hata makofi...,!
 
Duh hali sio . . . bi kiroboto anajifanya msafishaji
 
wana jf imekwenda ndivyo sivyo. Jamaa kagoma kuwajibika. Tutegemee nini?
 
namuona PM anamalizia speech yake ya kuahirisha bunge bila kugusia suala la ufisadi serikalini kwa mujibu wa report ya CAG.
 
Hii ni zarau jamani chozi linanitoka,. Tanzania yangu tumekukosea nini watanzania,. E mungu mbona umetuchukia watanzania hivi,, aaaaa
 
kweli mama kiroboto amelipa fadhila kwa 'mabwana' zake
 
Hii ni aibu kubwa kwa wabunge na Pinda mwenyewe. Haiwezekani mambo yako hovyohovyo alafu bunge linaahirishwa kienyejikienyeji. Hovyo kabisa.
 
Huu utaratibu wa waziri mkuu kuahirisha Bunge yabidi uangaliwe upya katika katiba!
 
Back
Top Bottom