Pinda amedhihirisha uimara wa serikali yake,
Ninaamini kabisa kuwa serikali ya CCM itafanya maamuzi magumu very soon, lakini kiongozi imara haendeshwi na wapiga kelele, lazima utafiti, uchambue na kujiaminisha kabla ya kutoa maamuzi.
Hongera JK na Serikali, nimewapa heshima mnayostahili na tuna imani mtafanyia kazi maoni sio kuburuzwa na wachache wenye tamaa na nia binafsi.