Sijui anaongea nini, yupo ktk Elimu 10 mins, utashangaa ataanza kilimo, mifugo, afya, mahindi, maharagwe, mchicha, ng'ombe, nguruwe, mbolea, utalii, ardhi, mito, maziwa, bahari, anga, mvua, kiangazi, njaa, simba, yanga, kidato cha 4, std 7.. Walimu, wafugaji, wagonjwa, wafu, vichaa, madaktari, mkoa wa Mara, Mwatex, umeme, viwanda, maji, ukimwi, soko, pamba, ajira, umaskini, muda umeisha.... Speaker kaongeza muda..... Mkutano, atamaliza saa 5 ucku, na katupoteza wote, i am exhausted..... Now yupo A to Z alitembelea Minjingu.... Leo mtakoma, sasa Sanflag..... Jesus Christ..... leo ni leo....
Hiiiii kaanza Minjingu, sulphur, phosphorous, nitrate....
Mama yangu...... Kote alikotembelea kasema....sensa sasa.... Heeeeeh....
Sensaaaaaa weee 26 August 2012
Mawaziri WANACHEKAAAAA kisiri siri WANAJUA IMEPITAAA HIYOOOO.....