Huu ni upepo tu mkuu, utapita tu na watu watasahau. Ndio maana pinda anawachosha kwanza na habari za sensa na kifuta machozi kwa wafugaji. Uzoefu unaonyesha kuwa kila anayemwita Dr Kikwete anajipendekeza
Pinda amedhihirisha uimara wa serikali yake,
Ninaamini kabisa kuwa serikali ya CCM itafanya maamuzi magumu very soon, lakini kiongozi imara haendeshwi na wapiga kelele, lazima utafiti, uchambue na kujiaminisha kabla ya kutoa maamuzi.
Hongera JK na Serikali, nimewapa heshima mnayostahili na tuna imani mtafanyia kazi maoni sio kuburuzwa na wachache wenye tamaa na nia binafsi.
Anataja majina ya kamati ya katiba na kuwapongeza wajumbe wa kamati hiyo, na anaowaomba wananchi waipe ushirikiano wakutosha pindi kamati itapoanza kkufanya kazi yake
haonyeshi kuwa atajiuzulu wala kutuambia kuwa mawaziri wamejiuzulu anapiga porojo za kila siku hutuba za ng'ombe na vifuta machozi za mil 500 ngombe 200 huo ni wizi kabisa kwani bei hiyo si sahihi
anahitimisha hana lolote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.