Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Hiyo Hotuba ndeeeeefu si wangegawiwa Wabunge wakasome wenyewe?

....Nataka kusikia hatua zilizochukuliwa kwa Mawaziri wanaolalamikiwa tu.
 
Nataman aishie hapo hapo hotuba yake hainogi tena yaani hot isue kaizungumzia ki simple utadhni hata hamna kitu
 
nimeshawaambia mtasubiri weeee, na kauli yake ya mwisho ni kwamba TUKUTANE DODOMA TAREHE 5 JUNI SAA TATU ASUBUHI KWA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI. ASANTENI!

Sio tarehe 12/06?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Yaaani hapa anazungumzia maswala ya sensa!
 
Yani huyu PM ni JANGA KUBWA kwa Taifa letu!

Eti anadhubutu kuongelea kanda ya kaskazini kuhusu mambo ya janga la ukame,Yani huyu ni mwehu flu!
 
Tupia mafanikio ya Serikali Watanzania tupo nyuma yako PM, PM PM
 
mwana mtoka pabaya tu huyo,kapinda kila kona
 
aisee! wasipojiuzulu tyari tumepata majibu. ni maandamano nchi nzima. peoples power itaamua hatima ya nchi hii.

yes.. there u are! Hata kesho mi niko tayar..any one to join me please..
 
mwanzo wa mwisho wa ccm ndio huu.
Ni tabia ya ccm kukwepa ku-ADRESS mambo ya muhimu kuhusu mwananchi.
 
wanafikiria tz ya sasa ndio ile ya mwaka jana, ngoja wakione cha moto sasa...kesho kutwa atakuja mkuu wa nchi kuongea na taif aka na wazee wa darisalama basi, wamemaliza...simpleeeeeee
 
Back
Top Bottom