DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 978
- 184
Natamani kulia,natamani kutukana. Mungu wangu !!! Hebu sasa tufikiri mara mbilimbili pale tunapoona nchi fulani raia wanaingia mtaani na silaha.
kwa kweli tutamkumbuka sana huyu jamaa maana aliweza kufanya maamuzi magumu ... huyu PINDA duh na kusakamwa kote na midudu yote bado anang'ang'ania... aisee mi na hisi tuwaloge mmoja mmoja wajifie. tuuuuuuu
Mawaziri wanafanya wanavyoweza kuiba kula rushwa za waziwazi bado wapo tu Serikalini na hakuna atakaewagusa na hayo mnayoyapigia kelele ni Kama kelele za Chura hazimzuii tembo kunywa maji.Arumeru mashariki wameshaanza kuichukua nchi yao kwa kuwanyang'anya wawekezaji mashamba yao.
huyu mama cjui anamatatizo gani
Kwa namna mambo yalivyoendeshwa,nchi hii haitatawalika tena. Believe or leave..
Mie siamini macho, masikio na akili zangu kuwa inawezekana kabisa Pinda aka-mute kuhusu hali ya serikali kiuchumi Vs kiutawala na akaishia kuongea story bila action points????!!!
Nimepigwa na butwaa.... Poor Tanzanians.... ;Poor Leadership..... Poor Actions....
.
Tuna kichwa cha nazi ikulu tena koroma unatarajia mawaziri kuwajibika kwa kuihofo hewa? Hakuna rangi taifa litaacha kuona. Jk ni farao wenu Mungu aliyemchagua kuwaadabisha. Nakuhkikishia mabutu wa zaire na ubabe wake alikuwa na hofu kwa watu wake kuliko Jk anavyowaona kima msioweza kumfanya lolote. Vichwa vya dizain hii ndivyo vinavyoamshaga vita ya wenyewe kwa wenyewe. Chunga maneno yangu haya. Ccm waliosaign kumwondoa Pinda kwa kisasi cha Jk yatawakuta ya babu Seya.
.