rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 462
Chadema (Barcelona) 1 VS CCM and Pinda (Realmadrid)2
Wewe ni mtu hatari sana. Huna tofauti na machifu waliokuwa wanawauza waTZ wenzao kwenye biashara ya utumwa kwa kupewa pipi.
Chadema (Barcelona) 1 VS CCM and Pinda (Realmadrid)2
unamaanisha atakumbukwa kwa RICHM0ND
Kumbe ile habari iliyokanushwa jana na Ikulu juu ya kilichoandikwa na Tanzania Daima ilikuwa ni ya kweli? Basi hii ni balaa. Hapo wabunge wa CCM waliosaini petition matumbo moto.
kweli hii sio tanzania bali ni tanzagiza. sitaki amini kwamba hawa wa2 wamegoma kujiuzuru. kweli CCM na serikari yake wametudhalilisha kushindwa toa maamuzi magumu.
kwn umemabiwa mod anafanya kza kwa mapenzi yako acha ubinafsi pinda kaisha nikera na wewe usiongezeeeTena ameiacha mpk muda huu!
Sijui Mod anasubiria nini.
nakuomba uifute hii thread!