Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Na issue ya Zitto nayo inakuwaje? Hata kura za maoni hawazisemei kwa lolote?
 
Mungu ibariki Tz.... Wabariki CCM na waziri wakeeeee na Pinda wakeeee..... Ibariki CCM mmmmm na waziri wakeeeeeeee..... Tukaeeee sasa naahirisha bunge hadi Juni 12, 2999...... I am done.....
 
Namkumbuka Jairo!

Well, ilikuwa burudani ambayo imewatia moyo watanzania na kuwaacha solemba...

Upepo ushapita....

Dah! Kweli walisema upepo utapita! Naenda kula nilale timu yangu imefungwa! Kesho wakuu.
 
Pinda amedhihirisha uimara wa serikali yake,
Ninaamini kabisa kuwa serikali ya CCM itafanya maamuzi magumu very soon, lakini kiongozi imara haendeshwi na wapiga kelele, lazima utafiti, uchambue na kujiaminisha kabla ya kutoa maamuzi.
Hongera JK na Serikali, nimewapa heshima mnayostahili na tuna imani mtafanyia kazi maoni sio kuburuzwa na wachache wenye tamaa na nia binafsi.

Mudi hamumuoni huyu mtu anavyolipotosha taifa mumpe mapumziko kidogo humu jamvini,sababu kila wakati anahisi kuchafua hali ya hewa?
 
hakuna kitu, kamshidwa jairo ndo tamuweza nkullo, ngoja tuone kiranja mkuu atasemaje, ila sijui zaidi ya kulindana hapa.
 
Jamani unajua Hawa jamaa wanajua Watanzania ni kwa kiasi gani ni wapole mpaka hawawezi kudai haki zao hata wakiwa wanadanganywa.Naamini kwa hili PINDA anatakiwa yeye ang'oke maana HANA UCHUNGU NA UMASIKINI WA WATANZANIA HATA KIDOGO. JAMANI TUSEME HAPANA TENA HAPANA KWA MAWAZIRI WALIOHUSISHWA NA UIZI WA FEDHA ZA WATANZANIA KUENDELEA KUHUJUMU NCHI YETU.
Nini sasa tufanye mana km kusema hapana tushasema sana hiyo hapana huku majumbani nn sasa kifanyike ili tusogee hatua mbele???viongoz wetu wametufanya cc wapumbavuu ndo mana hata kuliongelea wameona wasiliongelee mana wananchi ni viazi tu na wao ndo wenye nchi.
 
Kumbe ile habari iliyokanushwa jana na Ikulu juu ya kilichoandikwa na Tanzania Daima ilikuwa ni ya kweli? Basi hii ni balaa. Hapo wabunge wa CCM waliosaini petition matumbo moto.
 
Pinda amedhihirisha uimara wa serikali yake,
Ninaamini kabisa kuwa serikali ya CCM itafanya maamuzi magumu very soon, lakini kiongozi imara haendeshwi na wapiga kelele, lazima utafiti, uchambue na kujiaminisha kabla ya kutoa maamuzi.
Hongera JK na Serikali, nimewapa heshima mnayostahili na tuna imani mtafanyia kazi maoni sio kuburuzwa na wachache wenye tamaa na nia binafsi.

unavyosema Serikali, kwani CAG sio sehemu ya hiyo serikali?! Kwani hao CAG hawakufanya uchunguzi wa kutosha?!! Unafikiri kwa kutumia nini wewe?!:A S angry:
 
tanzania zaid ya uijuavyo LOWASA ataendele kuwa yeye na heshma yake itazd kwenda juu haya magarasa mengne mh cjui upepo ushapta
 
Wimbo wa Taifa unaimbwa kutoa madukuduku yote yaliyojitokeza, Pinda katoa hutuba ya Mwaka Watanzania kaenda kinyume kabisa na Watu walivyokuwa wanafikiri

ndicho alichotuahidi kukitoa jumat atu ya Leo?
 
Jaman ndo imetoka hivyo!
Spika katoa hoja kasema
"wanaokubali bunge lihailishwe mpaka 12june?" wabunge ndiyoooooo!


"wabunge wanokataa bunge lisihalishwe! ?" mimi niliskia siyooooooooooooooooooo!

mama akasema wameshnda walisema bunge lisihairishwe!


duhhh!
kitu cha wimbo wa taifa kinapigwa kwisha kaz!
 
Ungese.com,
Hii nchi bora" kiwake" tu!!!
 
hivi lile tamko ambalo alisema atatoa j3 vp..??au leo ni jpili..?

Mkuu huyu PM hana meno na aishaambiwa na bosi wake kuwa huo ni upepo tu utapita. Kurugenzi ya ikulu walikanusha hayo lakini kwa jinsi bunge lilivyoisha limedhihirisha pasi na shaka kuwa kilichoandikwa na Tanzania daima ni kweli.
 
Mudi hamumuoni huyu mtu anavyolipotosha taifa mumpe mapumziko kidogo humu jamvini,sababu kila wakati anahisi kuchafua hali ya hewa?
Hicho nacho ni kijizi/kidokozi ndo mana kinatetea wadokozi wenzake.
 
Back
Top Bottom