Pinda amedhihirisha uimara wa serikali yake,
Ninaamini kabisa kuwa serikali ya CCM itafanya maamuzi magumu very soon, lakini kiongozi imara haendeshwi na wapiga kelele, lazima utafiti, uchambue na kujiaminisha kabla ya kutoa maamuzi.
Hongera JK na Serikali, nimewapa heshima mnayostahili na tuna imani mtafanyia kazi maoni sio kuburuzwa na wachache wenye tamaa na nia binafsi.
Wimbo wa Taifa unaimbwa kutoa madukuduku yote yaliyojitokeza, Pinda katoa hutuba ya Mwaka Watanzania kaenda kinyume kabisa na Watu walivyokuwa wanafikiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.