Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Hata kutaja kuna ubadhirifu, au tamko hakuna lolote
katamka..... Siamini... hiiiiii....!!!!!!!!!!????????
 
haya majitu yana roho ngumu kweli ..hapa labda hadi damu imwagike ndio tutaona hii mijamaa ikiwajibika
 
hata magamba hawakumpigia hata makofi pm
 
Amefunga bila kutoa la maana, hakuongea yale makubwa. Anne Makinda awananga anasema wasiongee kwa ushabiki.
 
kama kawaida ya serikali yetu, Makinda naye anavyohitimisha inaonekana hakuna ishu ya kupigana chini in a thousand years
 
Kwanza wanao angalia bunge!
hata wabunge hawapo atention kwa hiyo hotuba! Wanataka kusikia uwajbkaj wowote! Bunge is over mpaka june
Mama anamalizia kusisitiza wabunge wafuate kanun
na anajitetea kiti kile ni cha lawama kila sku kwamba lazma alaumiwe!
anasema wabunge muwe marafki msichukiane ndo changamoto kwa wale waliosemwa vbaya!

My Take: HII NDO TANZANIA
 
People alisema katibu wa bunge wa ccm Jenister Mhagama kuwa maamuzi magumu ya wabunge kuhusu tuhuma nyingi za wabunge wooooote kwa mawaziri.na alisema mwenyekiti wa wabunge wa ccm ambaye ni mtendaji mkuu wa serikali waziri mkuu angetoa kauli kwa walichokubaliana.
Nini kimetokea? Hakuna..tusubirie kama si changa la macho.
 
Nawaombea safari mbaya! Magamba wote! Laanakum kabisa!
 
Back
Top Bottom