Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

Mizengwe Kaianzisha sasa na anaPita tena hapa kwa kuPinda mgongo maana Zitto amemchubua kwa konzi kali kichwani
 
anaongelea mamlaka ya hifadhi ya jamii, kuna mifuko sita kwa hilo....sasa mbona mifuko yenyewe yote imefulia, pesa mawaziri wako wamekomba...ongelea tuwafanye nini nyie voingozi, watu wajiunge na mifuko wakati imeshakombwaa

Hifadhi ya jamii wakati watu hata chakula shida, bima ya afya hakuna, dawa na madaktari hakuna, maji hakuna...aafu ati mafao ya mifuko ya jamii. na mipango kabambe blah blah
 
kiukweli inakera sana yaaani hiii ndio taarifa aliyoahidi pm wetu?
 
Wa kutoa taarifa za kuwajibika hapa hayupo!
Si Pm , si ministers
wamevaa miwanimbao, na mabunzi maskioni.
 
nina mtoto amemaliza la saba hajuwi kusoma wala kuandika. tena mwanafunzi aliyesoma dar es salaam. huyu pinda anaongea u_pupu gani hapa?
 
Hivi nyie mnatarajia jipya from Magamba? Dawa yao ni kuwang'oa tu 2015. Tofauti na hapo ni kujilisha upepo.
 
bla bla bum! bum! Ametupotezea muda mwingi kusikiliza fyuuuuuuuuuuuu, mbambamba!!!
 
Wanafunzi laki tisa walifanya mtihani wa darasa la saba 2011 na laki tani na ushehe walifaulu na kendelea na masomo.

amekiri kufeli form iv kwa kizaz cha fb,
ameanza ZIARA ZAKE KANDA YA ZIWA
 
nadhani ile idea ya Dr.Slaa kusainisha watu itakuwa nzuri mana wamezoea kufanya uhuni
 
Hivi mmetoa macho kwenye TV zenu mkitarajia maamuzi magumu!! Maamuzi magumu Bongo?!! Bwana mdogo zitto anafunikwa kapuni, potezewa mbaya, kesho tunaamka na story za Lulu kabla hatujapigwa Single ingine. Chezea magamba wewe!!
magamba siyo miungu...yana mwisho haya...!
 
Loading..........................................Acces denied!!
 
Back
Top Bottom