Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

Msiba usikie nyumba ya jirani mkuu. Hayo maneno yanaumiza kwa wafiwa
mwenzako mmoja walimfuata kwake vijana kama 15 mmoja alikua signal kabla ya nyumba, 7 wakaingia mdani na 7 wakabaki nje walivyo kua na akili mbovu ile timu ya ndani ikitoka inaingia ile iliyokua nje humo ndani kilichokua kinaendelea ni mtihani tupu! Jamaa kazama chini ya kitanda mkewe akaomba yamkute yeye kulinda uanamme wa mumewe, ilikua ni msiba show kuanzia saa 7 usiku mpaka saa 4 alfajiri mama wa watu wamemla vitasa bado na huko bomba mbili hakufai! Kumekucha kukawa ni dhihaka jamaa akaenda kuomba kuacha kazi sshv ni mzurulaji tu kama mimi na familia ndio ilikufa kipindi hicho hicho! Ukuda makazini muache!

Binafsi nina hofu ya Mungu kuna tutusa moja nalo liliharibu kazi ya pesa ndefu na kazi tulikua tunafanya watu wa tatu tu! Aisee mgao ulikua mkubwa sana kwa kipindi hicho kuondoka na laki7 au 1m per dei ilikua ni kawaida kabisa, ikitokea mmekosa kabisa hela hiyo siku ni kama hamjafanya kazi basi ni laki3 au 4, niliamini kuna watu wameumbwa masikini kabisa kutoka rohoni na kila siku nilikua namuhubiria, " ukichimba shimo la uzandiki, usichimbe shimo kubwa kwani hujui atangulia nani! " Alikuja kutangulia yeye baada ya miezi miwili mimi na huyo mwingine tukapewa option ya kuendelea kufanya kazi ila c kama waajiriwa yani tujitegemee tulikula mpaka tukashiba huku yule mzandiki akiwa kashajichanganya kwenye boda boda za lema ukuda makazini ni miyeyusho, ukikutana na watu wenye roho kubwa ni msala

Kuna visa viingi sana, hata hapa nilipo sasa kuna bwana mdogo mbali na kutofuga hata kuku bado hajiwezi hata yeye mwenyewe, na kazini nikama kawekwa tu kwa kujuana juana na undugulism, huku na huku nikaja kudumbukizwa section yake sikua nadhania ni kama ni mtu wa namna hiyo ni tofauti na tulivyo kua tunafahamiana wakati hatupo kitengo kimoja, mwanzo kabisa baada ya kua nae kama siku tatu nikaanza kupata notifications kutoka kwa wanaomfahamu

wakati napambana na hizo habari He! Natumiwa screenshoot za conservation za huyu bw'mdogo na wenzake na maboss, sijakaa sawa kutafakari, he! Boss huyu hapa kajaa!

Nikamsukumia jumba hakuamini macho yake baada ya miezi kadhaa nikapata fursa ya ya kukutana na boss tulikaa kwa muda kwenye story za hapa na pale, akashangaa kitu, ambacho hakutegemea,

" wewe unashangaza sana yani huyu mtu unae msifia na kumpamba ndio mtu yuleyule alietaka kukuharibia CV alafu wewe unampambania mbona kama ni maajabu na haijawahi tokea mtu kumuongelea dogo hivi unavyo muongelea tangu na tangu ni wewe ndio unanipa habari hii mbali na wewe kufahamu alicho kufanyia, sikutegemea kupata habari zile kukuhusu wewe "

ikabidi nicheke tu, na kumjibu

" kwanza kila mtu ana roho yake, pili kila mtu ana maono yake, binafsi sihitaji mtu anione kama ninavyotaka mimi anione au anichukulie kama ninavyotaka mimi, wewe ukiniona nakufaha tunaenda wote kama sikufai pia si lazima twende wote, hata niwe na ufanisi vipi au uwe na uvanisi, pia sirithi adui wa mtu, wewe umeshafanya mambo mengi na kazi nyingi mpaka kufika hapa, na mimi nimesha fanya kazi nyingi na mambo mengi, na pia siishii hapa, na hapa kwako mimi napita tu, ila huyu dogo kwa umri wake na elimu yake sidhani kama kuna mahala popote hapa duniani ambapo amesha wahi fanya kazi zaidi ya hapa, hivyo bado ana vitu vingi vya kujifunza apart na haya anayo endelea nayo, hivyo kwa muda mfupi nilio kaa nae nimemjua vizuri na hata hii tabia yake ni kwasababu anaishi kwa mashaka na hofu, kua baada ya hapa hajui anaenda wapi na itakuaje, pia anahisi kudharaulika muda wote hivyo hayo sijayazingatia saana kuhusu yeye na silazimishwi na mtu kumuona kama wanavyoyaka au yeye anavyotaka nimuone, ila nilichobaidi kwake, ana uwezo mkubwa wa kazi tofauti na nyie woote mnavyo mfahamu ila hajawa tayari kuonyesha ufanisi wake kwa sababu hizo nilizokueleza, pia hajatokea mtu wa kumpa ushirikiano au kumuongelea kama hivi ninavyo muongelea "

huyo mzee alistaajabu sana, nikajua yameishia hapo, tukaendelea na bla bla bla zingine, siku kama nne mbele akawa anatuzungukia akiangalia tunafanyaje kazi na tunaelekezana vipi siku ya siku baada ya kumaliza kazi tukawa tuna bla bla bla stoy naye boss akaja akaunga tela kwenye story zilizokua zinaendelea tukizimix na story za kazi, HE! baada ya mda boss akaanza kufunguka baada ya yule bw'mdogo kugusia jambo akasema

" alafu wewe kuna taharifa zako nimezipata kutoka kwa huyu mwenzako hapa, ni taharifa njema na mimi nimefurahi kusikia hayo kwa mara ya kwanza, ila kwakua yeye ndio alie sibitisha habari hizo basi kuanzia leo yeye ndio mdhamini wako mpaka atakapo kukabidhi alipo kupendekeza, nawapa miezi 6 "

dogo mpaka dk hii ni mwezi sasa ana adabu 12 na kanyooka kama rula ya mwalimu wa hesabu UKUDA MAKAZINI MUACHE JAMANI, MAISHA NDIO HAYA HAYA hamna mahala utaenda ishi mara ya pili hapa duniani uka recover
 
Kumbe huyo mhasibu ni mwanamke, nikajua labda ni jamaa. Ni mtu wa bank gani?

Well scenario inaweza kuwa mtu aliinvest sana kwake halafu akaja kuleta mambo ya kijinga. Imagine mtu anakuhudumia miaka yote akitegemea atakuoa halafu ndani ya week 1 tu unambadilikia na kumuona mshamba, sio kwa jitu la Mara lazma udedi.
Nilijua tu lazima uende kinyume na bandiko langu
 
Alitekwa kama Leo jion kesho ilikua anamtambulisha mchumba wake...so wakamfunga na kumchoma na petrol.
Wasamaria wema ndo kumuokota akapelekwa muhimbili ....kauguzwa almost siku kama 4_5....na michango tumechangishana ya kuongeza nguvu kumuuguza maana alikua icu ila juzi akafariki..
Ninamfahamu na msiba naujua ila kisa Kwa kweli nahisi kinahusiana na mahusiano japo Sina uhakika maana unashindwa hata kuwahoji wafiwa .Kwa Sasa tunatazamana TU
Kwa udogo sana unaweza ukahusisha na mambo mengine ila nashangaa watu hapa mnahusisha na siasa
Dahh.. mkuu embu endelea kudodosa habari hii .
So Sad!😔😔
 
Alitekwa kama Leo jion kesho ilikua anamtambulisha mchumba wake...so wakamfunga na kumchoma na petrol.
Wasamaria wema ndo kumuokota akapelekwa muhimbili ....kauguzwa almost siku kama 4_5....na michango tumechangishana ya kuongeza nguvu kumuuguza maana alikua icu ila juzi akafariki..
Ninamfahamu na msiba naujua ila kisa Kwa kweli nahisi kinahusiana na mahusiano japo Sina uhakika maana unashindwa hata kuwahoji wafiwa .Kwa Sasa tunatazamana TU
Kwa udogo sana unaweza ukahusisha na mambo mengine ila nashangaa watu hapa mnahusisha na siasa
Dahh.. mkuu embu endelea kudodosa habari hii .
So Sad!😔😔
 
mwenzako mmoja walimfuata kwake vijana kama 15 mmoja alikua signal kabla ya nyumba, 7 wakaingia mdani na 7 wakabaki nje walivyo kua na akili mbovu ile timu ya ndani ikitoka inaingia ile iliyokua nje humo ndani kilichokua kinaendelea ni mtihani tupu! Jamaa kazama chini ya kitanda mkewe akaomba yamkute yeye kulinda uanamme wa mumewe, ilikua ni msiba show kuanzia saa 7 usiku mpaka saa 4 alfajiri mama wa watu wamemla vitasa bado na huko bomba mbili hakufai! Kumekucha kukawa ni dhihaka jamaa akaenda kuomba kuacha kazi sshv ni mzurulaji tu kama mimi na familia ndio ilikufa kipindi hicho hicho! Ukuda makazini muache!
Binafsi nina hofu ya Mungu kuna tutusa moja nalo liliharibu kazi ya pesa ndefu na kazi tulikua tunafanya watu wa tatu tu! Aisee mgao ulikua mkubwa sana kwa kipindi hicho kuondoka na laki7 au 1m per dei ilikua ni kawaida kabisa, ikitokea mmekosa kabisa hela hiyo siku ni kama hamjafanya kazi basi ni laki3 au 4, niliamini kuna watu wameumbwa masikini kabisa kutoka rohoni na kila siku nilikua namuhubiria, " ukichimba shimo la uzandiki, usichimbe shimo kubwa kwani hujui atangulia nani! " Alikuja kutangulia yeye baada ya miezi miwili mimi na huyo mwingine tukapewa option ya kuendelea kufanya kazi ila c kama waajiriwa yani tujitegemee tulikula mpaka tukashiba huku yule mzandiki akiwa kashajichanganya kwenye boda boda za lema ukuda makazini ni miyeyusho, ukikutana na watu wenye roho kubwa ni msala
Huyo jamaa mkewake aliyembeba alifanya Kosa gani
 
Tahira wewe! Watu wanakufa wengi sana kwenye matukio ya uharifu mpaka panya road wewe unakuja na ngonjera hapa!
Usikurupuke wewe mbweha , kipindi che mwendazake matukio ya utekaji,watu kuuawa,miili kukutwa kwenye viroba,watu kupotea yalikuwa mengi sana! Uhalifu upo toka enzi za ponsio pilato na hautakuja kuisha hata wewe ukabidhiwe nchi .

kwahiyo kitendo cha kusema kwamba magu amefariki matukio yasitokee huo ni ujuha na vilevile kutokea hayo matukio kipindi magu hayupo akimaanishi kwamba kipindi chake alikuwa siyo crew yake ndiyo ilikuwa inafanya.
 
Back
Top Bottom