Pwani: Wanne wafariki kwa ajali

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Watu wanne wanasadikika kufariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda Dar es Salaam kugongana na lori la mizigo eneo la Vigwaza mkoani Pwani.

Ajali hiyo imetokea usiku wa leo Oktoba 23, 2023 ambapo inadaiwa watu waliokuwa wakisafiria gari hilo wamefariki papo hapo.

Mwananchi Digital ilipomtafuta Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo kuthibitisha tukio hilo alisema hana taarifa kamili bado wanafuatilia.

20231024_065029.jpg
 
Mwananchi Digital ilipomtafuta Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo kuthibitisha tukio hilo alisema hana taarifa kamili bado wanafuatilia.
Mwananchi digital my balls! Do your freaking job. search for information

RPC hakuwepo kama ambavyo wewe hukuwepo eneo la ajali. Kawaulize ambao RPC anakwenda na yeye kuwauliza.

Na RPC hatakwambia ukweli kama tatizo linahusisha uzembe wa serikali; kona kali zisozo na alama, kukosa taa za barabarani, dereva hana leseni, au kalewa , au kachoka, lori halina breaks au limezidi uzito na ukaguzi hamna,

Hata ambayo serikali haina lawama sana RPC huwa hawana muda wa ku delve deep into these issues. Hawana muda na maisha ya "manyani tu" wa nchi hii kwa saab ajira yake iko pale. pale
So do your damn job, mwandishi wa third world. RPC yeye ana tools gani za ziada za kupata taarifa, anawabinya ma#@%^$ majeruhi na mashuhuda ?
 
NA WATAENDELEAAAA KUFAA KAMA INZI
WATABAKIA KUSEMA RIP RIP TU
MAISHA YATAENDELEA HAKUNA ANAYEJALI
WATEGEMEEE VIFOOO ZAIDI

ova
 
Kile kipande sio kabisa..japo bdo kinafanyiwa maboresho lakini ukiovertake kizembe huna bahati..kuna malory mengi sana..anyway ndio mambo ya road..Mungu awaweke wanapostahili.
 
Kipande dume kile
Hapo huwa nikipita natuliza akili yangu yote nakuwa naangalia barabara tuu pamekaa vibaya Sana lami yenyewe mabonde mabonde kila sehemu
Kibaha to chalinze ni sehemu korofi paangaliwe Kwa jicho la huruma roho za watu hazinunuliwi dukani
 
Hii habari nimesikia redioni asubuhi chanzo cha ajali ni uzembe wa dereva wa gari ndogo kutaka kuovertake lorry....
Kilasiku tunapiga kelele hapa jamiiforum kuwa hiki kipande cha DAR -MORO sio rafiki Kwa madereva
 
Hii barabara serikali iiache kupuuzia,ipanuliwe ziwa njia 4,kuasidia kupunguza ajali,tunapoteza nguvu kazi ya taifa kwa mambo yanayoweza kuzuilika.
 
NA WATAENDELEAAAA KUFAA KAMA INZI
WATABAKIA KUSEMA RIP RIP TU
MAISHA YATAENDELEA HAKUNA ANAYEJALI
WATEGEMEEE VIFOOO ZAIDI

ova

Mpaka pale kiongozi mkubwa wa nchi akipata ajali,ila hii serikali ni changamoto sana kwakweli.
 
Kile kipande sio kabisa..japo bdo kinafanyiwa maboresho lakini ukiovertake kizembe huna bahati..kuna malory mengi sana..anyway ndio mambo ya road..Mungu awaweke wanapostahili.
Apo na bandari ya kwala haijaanza kufanya kazi,ikija kuunza Kama hawatapaweka vizuri,itakua balaa
 
Back
Top Bottom