Mhadhiri wa chuo kikuu Iringa amjibu mhadhiri wa UDOM kuhusu kelele za Tundu Lissu

Mligo Augustino

Senior Member
Nov 29, 2017
127
500
Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lissu huko majuu, Dr. Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020.

Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove).

Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu.

Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "hearsay"toka mitandaoni.

No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake.

Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu?

Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli.

Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.

Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,047
2,000
Katika awamu zitakazoongoza kuaibisha tasnia ya wasomi, hii ni mojawapo. Imesheheni maprofesa na wasomi wa kiwango cha juu kwenye maeneo mengi lakini utendaji wao hauendani kabisa na kinachotakiwa kuwa matokeo ya msomi.

Sasa hapa napo naona vita inataka kuhamia kwa wasomi wanaosaka teuzi sasa.

Uchambuzi wako Mligo Augustino kuhusu sakata hili tokea lilipoanza hadi sasa facts zako ni zipi? Tuweke kando izo unazoziita hearsay za mwenzio wa UDOM
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
5,077
2,000
Watu aina ya Dr. Mligo Jarida la the Economist linawaita Sycophant academicians
Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo. Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu. Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "heresay"toka mitandaoni. No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake. Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu? Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli. Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lukubuzo Samsis

JF-Expert Member
Nov 3, 2014
2,011
2,000
Huyo anajiita mlingo sijawahi ona dr kilaz.a km wewe.endelea kutafuta teuzi

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
23,921

Huyu simtofautishi na Dr. Shika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,930
2,000
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Ngoja tuanzie hapa kumjibu 'msomi' huyu; kwa kumkumbusha hayo maneno yake hapo juu, kama kweli ni maneno yake mwenyewe.
Je katika kujibu zile hoja za 'msomi' mwenzake. Utafiti wake kuhusu hayo aliyoyasema kaufanyia utafiti, au ni 'mhemko binafsi'?
Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020
Mleta mada ni Mligo Augustino, akimunukuu Dr Mligo aliyoyasema kwenye hadhara ipi!
Hebu ngoja: huyu sio tapeli kweli?
Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020
Huyu si ni msomi? Ushahidi wa kutokuwa na 'madhara yoyote' ameupata wapi yeye. Anajuaje. Amewauliza waTanzania wote wakamwambia kuwa hapatakuwa na madhara yoyote?

Huyu Mligo ni 'mirror image' ya huyo msomi wa Udom, kwa maana anayom-criticise nayo mwenzake, ndio hayo hayo anayoyafanya mwenyewe kwa kuwapa 'comfort' hao anaowalenga wasiwe na hofu.

Matapeli wa kisomi hawa tunao wengi sana siku hizi .
 
mpwaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2015
880
1,000
Kutegemea kelele za ughaibuni ziathiri ballot box bongo ni zaidi ya cerebral malaria ni uwendawazimu.Pole kwa wanafunzi wake binafsi nngebadili kitivo kabisa kama siyo chuo chenyewe
Wew ndio unastahili pole.
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
7,139
2,000
Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove). Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu. Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "heresay"toka mitandaoni. No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake. Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu? Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli. Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Ni kweli , msomi asijiingize kwenye "small talk".
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom