Mhadhiri wa chuo kikuu Iringa amjibu mhadhiri wa UDOM kuhusu kelele za Tundu Lissu

Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lissu huko majuu, Dr. Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020.

Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove).

Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu.

Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "hearsay"toka mitandaoni.

No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake.

Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu?

Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli.

Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.

Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Mligo Augustino ,we ni msaka tonge,wewe mwenywe ndo mwandishi wa hii post,ukijisema wewe mwenyewe.

Wewe unahangaika kwa lengo la kupata teuzi au kitu gani???

Toka ukiwa stella Maris Maris Mtwara, post zako hazirefelect usomi wako.

Jifunze kwa lecturer mwenzako JUSTIN LUSASI. Ni kada lakini yupo very smart.

Kwa leo itoshe nakufahamu vizuri sana, mpaka "dark side " 👊👊🤣🤣
 
Back
Top Bottom