Mhadhiri wa chuo kikuu Iringa amjibu mhadhiri wa UDOM kuhusu kelele za Tundu Lissu

Yule mwingine mwana harakati aliyekuwa anamchafua mfalme wa saudia
Mamlaka ikamkatakata kama nyama wakatupiwa mamba mtoni
Maisha yanaendelea saudia bado ni tulivu yeye mwana harakati katangulia baguani..kelele nyingi azina mashiko watawala wakikutaka paah kimya hakuna cha mzungu wala muhindi...
Naungana na mtoa hoja kelele za lisu ni porojo kwanza sio mjenga hoja ni mpiga kelele tu kama marehemu mtikila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu nae msomi au mfia chama? Mbona yeye hajaweka huo utafiti aliofanya? Shida sana ukiwa msomi na ukaamua kuietetea ccm. Kule kuna wafaa watu kama kibajaji na msukuma na yule jamaa wa morogoro wa sanamu la diamond hao hakuna shida ni uelewa wao ila shida inakuja unapojiita msomi.
Mwambieni teuzi atapata tu asijitoe akili kiasi hicho akimbuke kuna kesho
Wanaojiita wasomi CCM wote wanazidiwa Akili na kibajaji na Msukuma
 
Amekosoa vizuri kuwa hakuna evidence kuwa vijana wanajadili mambo ya TL, Ila kama msomi hajaja na evidence kuwa hawajadili, alitakiwa na yeye aseme hakuna mjadala huo kuna jambo hili, ushahidi huu. Wasomi wamekuwa watu wa viingereza vigumu na siasa bila kujali upande wa Siasa anaosapoti.
 
Yule mwingine mwana harakati aliyekuwa anamchafua mfalme wa saudia
Mamlaka ikamkatakata kama nyama wakatupiwa mamba mtoni
Maisha yanaendelea saudia bado ni tulivu yeye mwana harakati katangulia baguani..kelele nyingi azina mashiko watawala wakikutaka paah kimya hakuna cha mzungu wala muhindi...
Naungana na mtoa hoja kelele za lisu ni porojo kwanza sio mjenga hoja ni mpiga kelele tu kama marehemu mtikila

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe punguani ushetani umekujaa kama Bashite na baba yake usijifananishe na waarabu wao hawaishi kwa kutegemea 40% misaada kwa wazungu , tambueni kuwa Tanzania ni nchi masikini inapaswa kujikita kwenye maendeleo sio udikteta wa kishamba mnatumia pesa nyingi kuminya demokrasia badala ya maendeleo ungana na mtoa hoja kilaza kama wewe ambao mna porojo za kijinga lakini hamjielewi.
 
Amekosoa vizuri kuwa hakuna evidence kuwa vijana wanajadili mambo ya TL, Ila kama msomi hajaja na evidence kuwa hawajadili, alitakiwa na yeye aseme hakuna mjadala huo kuna jambo hili, ushahidi huu. Wasomi wamekuwa watu wa viingereza vigumu na siasa bila kujali upande wa Siasa anaosapoti.
Yule ni kada wa CCM siyo msomi ni mchumia tumbo anasaka teuzi tu
 
Hata kama ulikuwa na viakili kidogo wakati ukiwa huna chama lakini ukiingia CCM tu akili zote zinatoweka na kubakia zuzu kilaza usiyejielewa
 
Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove). Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu. Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "heresay"toka mitandaoni. No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake. Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu? Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli. Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Hahaha....ujinga mtupu kutoka Lumumba
 
Wana CCM wamesahau kuwa wao ndiyo visababishi vya Tundu Lisu kuwepo huko mda huu hawataki kukubali kuwa ushetani wao na unyama wao ndiyo chanzo cha Tundu Lisu kuleta mijadala isiyokwisha sasa na kama CCM kingekuwa sio chama cha kiibirisi kusingekuwa na uonevu na unyama kwa wapinzani, CCM mjitafakari acheni kutengeneza mazingira ya kuichafua nchi kisha kuanza visingizio vya kijinga jinga kuwa Tundu Lisu analichafua Taifa.
 
Akitoa maoni yake juu ya mtazamo na hofu "hewa" aliyonayo mhadhiri wa UDOM juu ya propaganda za Lisu huko majuu, Dr.Mligo amesema kuwa, kauli za Lisu hazina madhara yoyote kwenye chaguzi za TZ za mwaka 2020. Na kwamba mhadhiri wa udom amejiongoza vibaya kwakushindwa kuleta hard facts zinazomfanya awe na mashaka hewa hayo(Anayetuhumu ana wajibu wa kuthibitisha-He who alleges must prove). Ameendelea kusema kauli za mhadhiri wa udom hazina msingi kwasababu zinaelea kwenye eneo la "speculation" tu. Kama msomi alitakiwa aje na strong evidence katika kujenga hoja zake. Maelezo yake yote ni "heresay"toka mitandaoni. No critical analysis at all.Mhadhiri huyo wa udom amecommit FALLACY OF GENERALIZATION ktk kutoa maoni yake. Hana facts. Anawajengea watu hofu kwa vitu ambavyo havipo. Mfano ndani ya ccm kuna mjadala gani juu ya Lisu? Nani anajadili? Je ni vijana gani mitaani wanashawishika na stori za Lisu? Hakuna. Na hakuna ushahidi.Kiujumla maoni na tahadhari ya mhadhiri wa udom kwa serikali haina supporting facts. Ni vionjo tu na HOFU ambazo hastahili kuwa nazo msomi wa kweli. Mataifa ya West yako bize na matatizo yao na daima yanafanya maamuzi kwa facts, siyo kwakutegemea porojo.
Mwisho amewaomba wasomi watoe ushauri wenye tija na uliofanyiwa tafiti. Siyo mihemko binafsi.
Mbona hata wewe hauna tija una mihemko ya kisiasa? Hakuna cha wasomi nchi hii wote shida tu tumeona Maprofesa wamerukwa na fahamu wanayakana waliyoyasema kama yule alikuwa ACT Wazalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata wewe hauna tija una mihemko ya kisiasa? Hakuna cha wasomi nchi hii wote shida tu tumeona Maprofesa wamerukwa na fahamu wanayakana waliyoyasema kama yule alikuwa ACT Wazalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anajiita Msomi lakini hajui kuwa chanzo cha yote ni CCM kumpiga Risasi, sasa kama mtu anajiita msomi na hajui chanzo cha tatizo huyo siyo msomi ni mbulula kilaza
 
huyu mhuni wa humu JF ndo mhadhiri? au
maana fact zake huwa kama form four failure.namhurumia sana na wanafunzi wengi pale ni vilaza wa kumwaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli Augustino Mligo ni mhuni tu hafanani na uhadhiri wa Chuo Kikuu Iringa wakati vipo vingi pale
pia Mada yake ni ya kujisifia yeye mwenyewe kumkandia mwenzake
jamani wanaJF sasa tutawaona wanasiaisa wengi
 
yeye anadai mwenzake hajatoa strong fact,halafu yeye hajatoa hoja hata moja.
sasa hapo sijui haoni kuwa anajivua nguo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa andiko lile la Mhadhiri ya UDOM,ndo niliamini kwamba kumbe ndo maana products za UDOM ziko shallow kwa sababu ya Wahadhiri vilaza kama yule
 
Back
Top Bottom