Tanzania ndo nchi ya ajabu kuliko zote duniani-Nolan....
Habari kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ni kuwa Mh. Zitto Kabwe hivi sasa anaingizwa katika ndege kupelekwa india kwa matibabu zaidi.
Kama kweli ugonjwa ni malaria tu, basi hii ni kashfa kwa hospitali zetu
Malaria mpaka India?Habari kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ni kuwa Mh. Zitto Kabwe hivi sasa anaingizwa katika ndege kupelekwa india kwa matibabu zaidi.
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Mh. Zitto anaumwa malaria (vijidudu 150).
Maswali:Basi Muhimbili ni Hosptali ya Rufaa (kupeleka India) kwa sababu haitibu badala yake inatoa rufaa tu.
- Kama hospitali ya Taifa haina uwezo wa kutibu malaria, je inauwezo wa kutibu nini?
- Kama hata wagonjwa wa malaria wanaanza kupelekwa india kwa matibabu, watanzania wangapi watapelekwa?
- Kauri mbiu ya Malaria haikubaliki ni ya kweli? Ni ya watanzania au ni ya watu wa marekani?
- Mwisho, Uchumi wa Tanzania unajenga uchumi wa india kwa kiasi gani?
Quality
akifa atapiganaje??I wwould expect Zitto kama mpiganaji wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake angekataa ofa hii ya kupelekwa India kutibiwa. haileti maana yoyote yeye kama kiongozi bado anafuata mambo hayo hayo ya kimagamba kupelekana India kutibiwa malariaa seriously!!!!crappy of the crappiest bullshit
yeah_alitakiwa akatae hata kama ni kufa anefia hapa nchini kama comrade gaddafi,...anyway hatujui kilicho nyuma ya pazia lakn.I wwould expect Zitto kama mpiganaji wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake angekataa ofa hii ya kupelekwa India kutibiwa. haileti maana yoyote yeye kama kiongozi bado anafuata mambo hayo hayo ya kimagamba kupelekana India kutibiwa malariaa seriously!!!!crappy of the crappiest bullshit
Hapo kwenye Red tu!! hivi unatumia nini kufikiri mmh!! kwa hiyo unataka afe na ili iweje sasa hebu kuwa muungwana Hospitali Yenu ya Taifa haina uwezo wa kutibu malaria so wacha kamanda akatibiwe huko................ Pia inawezekana umetumwa na mkulo maana sijakuelewa kabisa kamandaI wwould expect Zitto kama mpiganaji wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake angekataa ofa hii ya kupelekwa India kutibiwa. haileti maana yoyote yeye kama kiongozi bado anafuata mambo hayo hayo ya kimagamba kupelekana India kutibiwa malariaa seriously!!!!crappy of the crappiest bullshit
hata mimi nakua na shaka sana na hbr za humu mara yule kavuta mara yupo tunakuwa tunapotoshana tu.hbr kuhusu kabwe ni nyng mno,muanzisha mada atuelezwe chanzo chake cha taarifa.isije ijawa yale yale ya jana wengne wakaandika jamaa kavuta.lets b serious wth ppoz lyf.
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya radio free ya saa kumi ya alasiri ya leo,zito atapelekwa India kwa uchunguzi zaidi,ktk safari hiyo mh Zito ataambatana na muuguzi mmoja pamoja na mdogo wake.Kwa pamoja tuendelee kumuombea arejee salama akiwa na afya njema.