Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
zitto ana HIV (alilala na chifupa)

kwani kulala na Chifupa ndio kuwa na HIV?

Halafu, unamwombea/mdhania/mnyanyapaa mwenye HIV, kumbuka hujafa hujaumbika. Wanakufa wangapi buheri wa afya na wagonjwa wakaishi miaka mingi.

Na zaidi hakuna atayeishi milele.
 
[.QUOTE=mharakati;2729218]zitto ana HIV (alilala na chifupa)[/QUOTE

Na amina alilala na mpakanjia. Mpakanjia akalala na mamsapu wako na wewe ukalala na yule nanihii kwani hatujui and the circle continues.
 
Uzalendo... Hivi alichokuwa anaumwa Zitto hakikuweza kutibiwa hapa nchini hadi kupelekwa India? Huu uzalendo tunaozungumzia majukwaani unaanzia wapi?

C:C BAK..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom