Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
Mhm!Hapo hakuna cha malariaq wala nini,kuna jambo linafichwa hapo ila tutajua tu,haiingii akulini hata kidogo kuambiwa kuwa anaumwa malaria na anapelekwa India.
 
I wwould expect Zitto kama mpiganaji wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake angekataa ofa hii ya kupelekwa India kutibiwa. haileti maana yoyote yeye kama kiongozi bado anafuata mambo hayo hayo ya kimagamba kupelekana India kutibiwa malariaa seriously!!!!crappy of the crappiest bullshit
 
Namtakia
  • Safari njema ya kwenda
  • matibabu mazuri kwa haraka sana
  • safari njema ya kurudi akiwa mzima
  • kila kheri ZITTO ZUBERI KABWE
 
Habari kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ni kuwa Mh. Zitto Kabwe hivi sasa anaingizwa katika ndege kupelekwa india kwa matibabu zaidi.

Kama kweli ugonjwa ni malaria tu, basi hii ni kashfa kwa hospitali zetu
 
Habari kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ni kuwa Mh. Zitto Kabwe hivi sasa anaingizwa katika ndege kupelekwa india kwa matibabu zaidi.

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Mh. Zitto anaumwa malaria (vijidudu 150).
Maswali:
  1. Kama hospitali ya Taifa haina uwezo wa kutibu malaria, je inauwezo wa kutibu nini?
  2. Kama hata wagonjwa wa malaria wanaanza kupelekwa india kwa matibabu, watanzania wangapi watapelekwa?
  3. Kauri mbiu ya Malaria haikubaliki ni ya kweli? Ni ya watanzania au ni ya watu wa marekani?
  4. Mwisho, Uchumi wa Tanzania unajenga uchumi wa india kwa kiasi gani?
Basi Muhimbili ni Hosptali ya Rufaa (kupeleka India) kwa sababu haitibu badala yake inatoa rufaa tu.

Quality
Malaria mpaka India?
Nahisi hiki ni kisingizio tu,kuna ugonjwa unafichwa
 
I wwould expect Zitto kama mpiganaji wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake angekataa ofa hii ya kupelekwa India kutibiwa. haileti maana yoyote yeye kama kiongozi bado anafuata mambo hayo hayo ya kimagamba kupelekana India kutibiwa malariaa seriously!!!!crappy of the crappiest bullshit
akifa atapiganaje??

mgonjwa hachagui dawa mazee
 
Hii sio malaria ya kawaida jamani mbona mnakuwa hiviii kwani nyie niwageni na MAGAMBA!!! Kilichobakia tumwombee dua mheshimiwa wetu kwa Mungu aponye maradhi haya yakimagamba aka Malaria!

hii ni malaria ya TISS na kundi lao ila wakae wakijua kuwa hakuna marefu yasio na ncha na kila lenye mwanzo linamwisho.

Pole mpiganaji wetu sisi tunakuombea kwa mungu upone haraka urejee kwenye mapambano yetu.
 
Tuwaombee wagonjwa wote walioko India pamoja na Zitto ili wapone haraka.

Baada ya hayo ni vema kama taifa tukawa na mjadala kuhusu huduma za afya na uwezo wa madaktari wetu. Kama tunashindwa hata kutibu malaria kwa nini tuna wizara ya afya? Tatizo ninaloona hapa ni hii tabia ya kuomba omba kuanzia ngazi za juu kabisa na sasa tunasahau wajibu wa kujijengea uwezo wa ndani. Mawaziri na viongozi wakuu watapata matibabu popote duniani, lakini watanzania milioni 40 na ushee waende wapi? Au Uncle Sam tena?
 
I wwould expect Zitto kama mpiganaji wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake angekataa ofa hii ya kupelekwa India kutibiwa. haileti maana yoyote yeye kama kiongozi bado anafuata mambo hayo hayo ya kimagamba kupelekana India kutibiwa malariaa seriously!!!!crappy of the crappiest bullshit
yeah_alitakiwa akatae hata kama ni kufa anefia hapa nchini kama comrade gaddafi,...anyway hatujui kilicho nyuma ya pazia lakn.
 
I wwould expect Zitto kama mpiganaji wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake angekataa ofa hii ya kupelekwa India kutibiwa. haileti maana yoyote yeye kama kiongozi bado anafuata mambo hayo hayo ya kimagamba kupelekana India kutibiwa malariaa seriously!!!!crappy of the crappiest bullshit
Hapo kwenye Red tu!! hivi unatumia nini kufikiri mmh!! kwa hiyo unataka afe na ili iweje sasa hebu kuwa muungwana Hospitali Yenu ya Taifa haina uwezo wa kutibu malaria so wacha kamanda akatibiwe huko................ Pia inawezekana umetumwa na mkulo maana sijakuelewa kabisa kamanda
 
...kaa mkao wa kusikia jambo kubwa kumhusu Mh. Samuel Sitta. Halafu uniite mtabiri.
 
JS....taratibu bibie
mana nimejiuliza nikaamua kunyamaza
ni kweli hatuna hospitali tanzania kabisa!!
na ndio mana wanainchi wengi tunaangamia kwa vitu very simple vilivyo ndani ya uwezo wetu
 
Kweli watanzania tumefika mwisho bora angekwenda samunge malaria mpaka india? Wakati ndg zetu wa vijijini wanachemsha muarubaini tu?
 
Hbr kuhusu kabwe ni nyng mno,muanzisha mada atuelezwe chanzo chake cha taarifa.isije ijawa yale yale ya jana wengne wakaandika jamaa kavuta.lets b serious wth ppoz lyf.
 
hbr kuhusu kabwe ni nyng mno,muanzisha mada atuelezwe chanzo chake cha taarifa.isije ijawa yale yale ya jana wengne wakaandika jamaa kavuta.lets b serious wth ppoz lyf.
hata mimi nakua na shaka sana na hbr za humu mara yule kavuta mara yupo tunakuwa tunapotoshana tu.
 
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya radio free ya saa kumi ya alasiri ya leo,zito atapelekwa India kwa uchunguzi zaidi,ktk safari hiyo mh Zito ataambatana na muuguzi mmoja pamoja na mdogo wake.Kwa pamoja tuendelee kumuombea arejee salama akiwa na afya njema.

Ina maana muda wote huo hawajajua kwa ujumla wake anaumwa nini? Mashaka yanajengeka kirahisi sana. Zaidi ya kumuombea kila lenye heri sina lingine.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom