Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya radio free ya saa kumi ya alasiri ya leo,zito atapelekwa India kwa uchunguzi zaidi,ktk ziara hiyo mh Zito ataambatana na muuguzi mmoja pamoja na mdogo wake.Kwa pamoja tuendelee kumuombea arejee salama akiwa na afya njema.
 
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya radio free ya saa kumi ya alasiri ya leo,zito atapelekwa India kwa uchunguzi zaidi,ktk safari hiyo mh Zito ataambatana na muuguzi mmoja pamoja na mdogo wake.Kwa pamoja tuendelee kumuombea arejee salama akiwa na afya njema.
 
Hata Malaria inabidi kwenda kutibu India... Napata mashaka, itakuwa POLONIUM ya Mkullo at work. Sijui kama kijana wetu atarudi salama. Get well soon Zitto, remember you did not rule out your presidential ambition.
 
Hivyo vijidudu 150 vya malaria vilivyokutwa mwilini mwake ndivyo vya kumpeleka India? Au hivyo vijidudu ya malaria ni vile vijidudu vya kutengenezwa kwenye maabara, waganga wameelekezwa namna ya kutotohoa jina la kitaalamu la asili ya vidudu hivyo kwene maabara, na hivyo kuelekezwa kwamba ni vijidudu 150 vya malaria?
 
Habari kutoka uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ni kuwa Mh. Zitto Kabwe hivi sasa anaingizwa katika ndege kupelekwa india kwa matibabu zaidi.

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa Mh. Zitto anaumwa malaria (vijidudu 150).
Maswali:
  1. Kama hospitali ya Taifa haina uwezo wa kutibu malaria, je inauwezo wa kutibu nini?
  2. Kama hata wagonjwa wa malaria wanaanza kupelekwa india kwa matibabu, watanzania wangapi watapelekwa?
  3. Kauri mbiu ya Malaria haikubaliki ni ya kweli? Ni ya watanzania au ni ya watu wa marekani?
  4. Mwisho, Uchumi wa Tanzania unajenga uchumi wa india kwa kiasi gani?
Basi Muhimbili ni Hosptali ya Rufaa (kupeleka India) kwa sababu haitibu badala yake inatoa rufaa tu.

Quality
 
Tunamtakia apate ahueni na apone

lakini serikali sometime inaweza kujidhalilisha au iinawadhalilisha madakatari na wataalamu wake. Safari nyingine a matibabu nje ni za kisaisa zaidi.

Hivi wabunge na mawaziri wanalipa na kukatwa BIMA ya afya ?
 
Duh, hizi aibu sijui tutazikwepaje huku ughaibuni. Anyway, hope tutaendeleza ugumu wa Kitanzania!

Get well soon Mr. Zitto
 
Maswali magumu sana hayo, "wenyewe" watakwambia unahatarisha usalama mkuu.

Tumwombee Mhe. Zitto apone haraka na arudi uwanja wa mapambano.
 
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya radio free ya saa kumi ya alasiri ya leo,zito atapelekwa India kwa uchunguzi zaidi,ktk ziara hiyo mh Zito ataambatana na muuguzi mmoja pamoja na mdogo wake.Kwa pamoja tuendelee kumuombea arejee salama akiwa na afya njema.

This is a big joke!
Very soon we gonna be sending flu patients to India or any other country for treatment!
Get well soon, Mr Zitto!!
 
Mwe kijana wa watu anaenda kulekule waliko Mwandosya na Mwakyembe au,nawaombea wote warudi salama nyumbani ,jamani tumuombee Zito
 
Mie ninaombea hawa WANASIASA wa Tanzania wawe wanapewa ONE WAY TICKET kwenda India.

Nina imani kuna siku woote wataishia India maana huko ndiyo KIMBILIO lao. Hapo ndipo watatuachia nchi yetu salama salimini.

WHO'S NEXT TO INDIA..........????!!!???!!???
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom