Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada.
I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%.
kama huamini Jaribu utaniambia.
hizi thread za kudhalilisha makabila ya wengine si nzuri sana na zinaleta taswira mbaya jamvini
Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada.
I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%.
kama huamini Jaribu utaniambia.
Kheir umesema
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums