Mh Wairaki!!!

Kikelelwa

Senior Member
Dec 14, 2010
176
124
Kuna mtu aliwahi niambia hawa watu sio wachoyo kabisa hasa wadada.
I have now proven beyond dought huu ni ukweli 99.99%.

kama huamini Jaribu utaniambia.
 
hizi thread za kudhalilisha makabila ya wengine si nzuri sana na zinaleta taswira mbaya jamvini
 
tatizo liko wapi? si umeomba ndio ukapewa au ulipewa bila kuomba?
Nalog off
 
acha kugeneralize wewe kwa sababu watu tunatofautiana sana, kukubaliwa na huyo au hao miongon mwa hilo kabila sio kwamba wote ni kanyaga twende bana, wapo wanaojiheshimu sana tu.
 
Back
Top Bottom