Mh. SUGU ofisini.

Mh. SUGU ofisini.

ofic naijua sio hiyo unajua ile cku mpesya anakwangau rangi nilienda ilikua ni mbaya zaid ya hapo so camin

Ana akili timamu mpaka akwangue rangi.........duh sipati picha. halafu huyo ndio aw kimbilio la wananchi.?!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Watu mnaandika kama hamjawai kuishi Tanzania.Hivi umeshaona hospitali,shule,visima vya maji, n.k vilivyo kwenye hali mbaya.Lazima kuwe na balance, sio watu wengine wanakuwa na ofisi utazani haziko Tanzania na wengine wanasoma chini ya mti.<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛></o😛>
<o😛></o😛>
Hiyo office ya Mhe. Sugu kwa hali ya uchumi wetu ni sawa kabisa.Kwa kuwakumbusha hali hali halisi nimeweka picha ya shule zetu na ofisi ya Mhe. Ngeleja hapo chini

<o😛>Tujaribu kuwa consistent katika kupigania maendeleo sio leo tunamlaumu Sitta kujenga ofisi nzuri jimboni kwake kwa kodi zetu kesho tunataka Sugu awe na ofisi nzuri.<o😛></o😛></o😛>
<o😛></o😛>
bongo%2Btambarare.jpg

21-1024x682.jpg
 
Attachments

  • Picture%2Bno.%2B2.jpg
    Picture%2Bno.%2B2.jpg
    96.7 KB · Views: 36
Hapo anamadeni acha, kwasasa hafikirii kabisa masuala ya rangi, kama 90M Regia alisema ni pesa ndogo sana sasa niambieni ili Sugu asafishe ofisi yake anahitaji kiasi gani?

Peoplezzzzzzzzzz naona wangemchangia kuinoa ofisi
 
to me, ofc c tatizo.hata ingekuwa chini ya mti kama wadogo zetu vijjn wanavosomea na kuita madarasa. kikubwa ni uwajibikaji tu na kuwatumikia wananchi. mtu mmoja amesema hapa hakuna mwenye ofc nzuri kati ya wabunge kama aziz (sijawahi kuiona) lkn hatumikii wananchi. does not deliver anything zaidi ya kuitumia kwa mipango ya unyang'au
 
Jitahidi Sugu upambe ofisi, tunaamini wewe unatumikia wananchi lakini siyo kigezo cha kuishiwa utanashati pamba ofisi kwa mfuko wa jimbo;;;;;katiba mpya ikianza tunautoa huo mfuko na mbunge atatakiwa kusema atatufanyia nini tukimpa kura zetu na siyo kujiandaa kufisadi maisha yetu kama ilivyotokea miaka ya karibuni kwa wabunge wetu

Ishu sio kupamba ofisi ila ni kuwapamba wananchi
 
duuuuuu wewe mbunge kaka jitahidi walau ofice ipendezeee kidogo utadhani ofice ya baloz wa kitaaa duuu >>>>>>>>>>>>>>>>
 
Nyie ndio mnao chochea ufisadi, wewe unataka ofisi aipambe kwa kiasi gani wakati wananchi wake wanahitaji maendeleo?!. Kwa tz, ilifaa hata ofisi ya RC iwe hivyo.
duuuuuu wewe mbunge kaka jitahidi walau ofice ipendezeee kidogo utadhani ofice ya baloz wa kitaaa duuu >>>>>>>>>>>>>>>>
 
alau file management angefundishwa, hiii picha inataswira nyingi ukiichunguza, utaona kuwa huyu mbunge hayuko makini, na inaonekana hakai ofisini, hapo just yupo kusoma Jamiiforums na kutuma umbeya
 
duuuuuu wewe mbunge kaka jitahidi walau ofice ipendezeee kidogo utadhani ofice ya baloz wa kitaaa duuu >>>>>>>>>>>>>>>>
unajua kipaumbele kwake ni nini? jamani wananchi wanashida sana juzi nilienda kwenye ofisi ya mbunge wa Arusha nilikuta watu wamemzunguka wengi wamemshikilia koti lake wakitaka awape angalau TZS 500 maana ni wagojwa na hawana hata pesa na panado achiliambali pesa ya chakula baadhi wakitaka awape nauli ya kwenda kwa Babu Loliondo natusisau ndiyo kwanza mwezi wao wa 4..
 
alau file management angefundishwa, hiii picha inataswira nyingi ukiichunguza, utaona kuwa huyu mbunge hayuko makini, na inaonekana hakai ofisini, hapo just yupo kusoma Jamiiforums na kutuma umbeya

User ID yako na what u posted vinalingana kabisa! Ni wa pale pale msoga nn?
 
Watanzania kazi kweli kweli hivi mtu unazungumzia apambe ofisi, ar u real serious Mtanzania mwenye kujua mahitaji matatizo yanayoikabili Tanzania? Nina wasiwasi itafika wakati tutasema wapange kwny magorofa ya Nssf, ppf na mengine kwa kodi zetu kisa tunataka wakae kwny ofisi zenye gypsum na viyoyozi! Hivi wakati unapanga foleni kumpgia kura mbunge wako ilikuwa ni ili akuwakilishe kwny kukaa kwny ofisi yny kiyoyozi?
 
Yap go sugu jenga jiji hilo ruge akikuona lazma azimie
 
lakini angalau ina computer-laptop, na simu mbili, moja ya mezani na nyingine ya kiganjani. Nani ana wajibu wa kumjengea mbunge ofisi?

Hiyo lap top nina uhakika ni yakwake(Sugu) binafsi, hajaikuta ofisini.
Hivimbunge aliyepita alikuwa anafanyia ofisi hiyo? au kama Masha kaondoka na furniture zake?
 
sio Sugu huyo bana! acheni uzushi
anyways......Mpesya alichukua kila kitu kwenye ofisi ya mbunge alivyopigwa chini. hadi rangi alikwangua
 
Back
Top Bottom