Mh. SUGU ofisini.

Mh. SUGU ofisini.

Hana hela ya kupaka rangi huo ukuta au??
 
Mbona ofisi yake imechoka namna hiyo!!
 
Jitahidi Sugu upambe ofisi, tunaamini wewe unatumikia wananchi lakini siyo kigezo cha kuishiwa utanashati pamba ofisi kwa mfuko wa jimbo;;;;;katiba mpya ikianza tunautoa huo mfuko na mbunge atatakiwa kusema atatufanyia nini tukimpa kura zetu na siyo kujiandaa kufisadi maisha yetu kama ilivyotokea miaka ya karibuni kwa wabunge wetu
 
Duh ofisi ya mbunge mbovu kuliko ofisi ya mtendaji wa kijiji.

lakini angalau ina computer-laptop, na simu mbili, moja ya mezani na nyingine ya kiganjani. Nani ana wajibu wa kumjengea mbunge ofisi?
 
Sijui kama ni macho yangu au laah!!!Naona kama sio sugu huyu!!!Sura mbona haiji sana!anyway kama ni yeye hiyo ofisi yake ilikuwa na matatizo.Mbunge alietangulia_mpesya alikomba kila kitu meza,viti,vitasa,kapeti hadi rangi alikwangua!!Sugu kajitahidi hata hivyo!MUHIMU SIO OFISI NZURI NI UTENDAJI WA MTU NA MOYO WA KUWATUMIKIA WATU WAPATE MAENDELEO,SIO JENGO AU FANICHA
 
kuweni wapole wakubwa mambo baado juzi tu kaingia..................
 
Mbunge aliepita alichukua vitu vyake vyoote sasa ndio Mh sugu ameanza angalau kwa meza na kiti apate pa kuanzia!!
 
Mh hiyo ofisi ya Sugu mbunge au alikuwa ofisini kwa katibu kata???

:lol::lol::lol:
 
Ni ile iko pale mbeya opposite rufaa hospital karibu na ofisi za ardhi?
 
Kuna mjumbe ameungana na mashaka yangu kuwa huyo sio sugu,idofi
 
Ofisi kali siyo muhimu, muhimu unawajibika???
Hakuna mbunge mwenye ofisi kali kama Rostamu....laikini fisadi!
 
Hongera Sugu, nadhani ofisi ilikuwa na full funicha ila c mnajua tena baada ya jamaa kushindwa waliondoka na funicha zote wakisema eti walizinunua kwa fedha zao. Lakini hakuna matata rudishia hizo fanicha ofisi iendana na Mbunge mzee.
 
Back
Top Bottom