Mh. SUGU ofisini.

hata mie cjafurah ful mr sugu kua kwenye ofisi ya namna hii au kuna namna imefanyika kumwaribia mazingra ya ofis yake!
 
kikubwa anafanya kazi za watu?ila sometime mtu anayeenda kupata huduma ofisi yoyote akiona mazingira mazuri ya ofisi anakua na imani na huduma atakayopata.so Sugu weka ofic fresh mkubwa...
 
Back
Top Bottom