Waziri Nape saidia mfumo wa polisi upo chini kwa wiki nzima sasa

Duc in altum

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,604
3,044
Zaidi ya wiki inaisha mfumo wa polisi uko down sijui umezidiwa na Watumiaji au Server ndio tatizo.

Waziri atoe msaada wake.
 
Back
Top Bottom